gilaibomba
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 352
- 92
Dah inahuzunisha kwakweli yaani hii nchi kila kitu ni Shida nimewapigia watu wa Tigo wamesema pesa imeshapokelewa na T.C.U. haiko kwenye milki yao na wamesema ni ngumu .
Wandungu inatia uchungu namna gani.....Wajameni TUSAIDIENI kupiga kelele haya madhila yatokomee.Kama upo Dar nakushauri ingia TCU kwa upole na unyenyekevu wafanye mambi zao manualy.
Thank u Sir,am waitingWait an hour
Kuna ndugu namsaidia kumfanyia Application hapa ana Diploma na sasa anajiunga kwa ajili ya Degree sasa hii voucher number kailipia kwa Tigo Pesa kila napoiweka inagoma na badala yake inaandika Error.........Kama inavyojionyesha hapa chini í-½í±‡ í-½í±‡
Msaada kwa wenye ufahamu juu ya hili tafadhali
cha kufanya hapo ndugu ni kuangalia vizuri hizo confirmation code za sms ya malipo then jaribu kuzijaza vizuri tena mara nyingine huwa ni tatizo la network na system ya NACTE au TCU wao wenyewe ila ikigoma sana jaribu kuwasiliana na NACTE watakusaidia i hope
Tumeendelea na hili zoezi mpaka sasa hatujafanikiwa na tukajaribu kupiga zile namba zao za huduma kwa wateja ukipiga simu ikiita tu wanakata kila unavyopiga inaita mara mbili au moja then wanakata
Doh
Naombeni ushauri nimelipia application fee kwa mpesa nikiingilia CAS kufanya application wananiambia MPESA CODE ERROR nimewapigia TCU wakanambia niwatumie email na nikituma email hazijibiwi
kuna mdau hapo juu alishauri kuwa unatakiwa usubiri baada ya saa moja na kuendelea ndipo uanze kuziingiza hizo code na kwa maelezo yake anadai ilikubali vizuri tu so jaribu kufuata njia hiyo huenda na ww ikakusaidia pia
Nimelipia tarehe 12 Mkuu. Mpaka sasa bado inagoma
Note:
TCU mpaka sasa hawajafungua milango kwa ajili ya watu kufanya application.
Wameongeza mpaka tar 2.augustMkuu nacte washamaliza kupokea application?
Nami pia nina Ndugu yangu amepatwa na tatizo kama lako na akiwapigia nacte wanasema tatizo liko kwa watu wa voda voda nao wakipigiwa wanasema tatizo liko kwa nacte sijui tutafanyaje......muda Wameongeza mpaka tar 2.augustNimelipia tarehe 12 Mkuu. Mpaka sasa bado inagoma
Wameongeza mpaka tar 2.august