me nimetumiwa na chuo sms ya kwenda kuchukua join kwa hyo hata ikibadilika profile haina shida kwa sababu nimeshachaguliwa. kwa wale walio bado subirini udahili umefungwa kwa hyo kinachofuata kila atakaeona chochote kwenye profile yake basi ndo haki yake
naona taarifa za mtu mwingine kabisaaaa
naona taarifa za mtu mwingine kabisaaaa
Kuna mtu yeyote ambae amekuta chuo kimeandika negative number like -1 ???
tumeni picha za mabadilko tzione msiwe mnalalamika tu xo mie iko kawaida tu
Zimerudi vile vile kwl aisee
sio ww peke yako
Nilikuwaselected nacte kwenda chuo cha
NIT. NIT walipotoa majina na jina langu
nililiona lipo,sasa leo nimeingia nakuta
wametoa majina mengine na jina langu
halipo.nini kimetokea jamani? au ndo
nimekatwa? Na nikiingia kwenye profile yangu nakuta message hii "You have current chosen the following programme(s)". Sasa nikitu gani kinaendelea, au mimi hku nifanyaje jamani naombeni ufafanuzi na ushauri
umesha kuwa selected just wait......
kipus we haujui kama mda umesha kwisha hadi sasa, vyuo vina hitaji maandaliz pia na bodi ya mkopo taarifa zetu watapata lini kama shughul yenyewe ndo hii ya kuendelea kusubiriii tyu kila wakat na je uchaguz mwak huu usinge kuwepo hii hali c wanafunzi wote tungebaki mwaka huu nyumbani maana vyuo vingekuwa tayari vimesha funguliwa ingali wengine hata hatuja chaguliwa.
Yani kipindi iki taasisi za kudahili wanafunzi wamekuwa wazembe kupitiliza kutokana na kujiona wako na mda mwingi wa kufanya kazi.
umesha kuwa selected just wait......
j.3 tupande nacte wote. yani hadi kielewek kule kule