young mdogoo
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 120
- 21
daaaah kwa hyo mnashaurije wakuu coz ikisoma zero hata ukiitoa au?
Kuna mtu yeyote ambae amekuta chuo kimeandika negative number like -1 ???
Kuna mtu yeyote ambae amekuta chuo kimeandika negative number like -1 ???
Me nlikua 3rd round sahv wameniandikia am provisionally selected kwny course moja wapo nlizo chagua
Asilimia kubwa ya wale niliowaangalizia mm,zimeandika 0 kwa slot kama 3 hiv na nyingine zpo vile vile kama mwanzo
Me nlikua 3rd round sahv wameniandikia am provisionally selected kwny course moja wapo nlizo chagua
.... Wadau kuna nafasi za udaktar zilizobak? Yaan doctor of Medicine (MD),,,wakuu najua nyuzi za 3rd round zpo nyingi ila nimewiwa kuanzisha uzi huu rasmi kwa sababu nilizoztaja kwenye heading.
kwa kuanza mm nina haya mawili ya kutaka kujua kutoka kwenu:
1. website ya tcu inasumbua kufunguka au 'server not found' ni kwangu tu?!
2. baadhi ya faculty kupungua capacity au kusoma 0 inaashiria nini?!
.... Wadau kuna nafasi za udaktar zilizobak? Yaan doctor of Medicine (MD),,,
pia kama kuna Coz ya afya nyingine,,, nina mtu anataka alipie a apply for the first time,,, na mwisho wa application ni lini? Asante
usiwe kama sisiemu wewe...kama ikitokea ktk faculty 5 zote zinasoma 0 wewe lazima utakuwa katika mojawapo,sijasema et utakuwa umechaguliwa zote maana hzo zingne ztakuwa zimejazwa na wa2 wengne,ila kwakua hatujui umechaguliwa wapi ndyo maana nikasema vle kwamba ktk hyo capacity 0 huenda wewe umo ktk mojawapo..hebu uwe unasugua akili kwa kujiongeza,kama huamini ngoja nikuitie JUMA NYOSSO nafikiri ana ufafanuzi mzuri kwako.Kama yupo sawa na amesema ukiona capacity ni zero that means chuo kimejaa na wewe applicant ukiwemo what if capacity ikiwa zero kwenye zaidi ya chuo kimoja maana yake umechaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja?
Sidhani kama ni kweli hiyo concept yake kwa simple reasoning tu
Ndio zpo mkuu, za muhimbili
Poa mkuu,, ngoja nimwambie afanye application chap,,,
mbona mimi niko sahivi mtandaon na TCU imefunguka.Nimemjazia dogo langu Bacherol of pharmacy muhimbili na capacity imeandika 8 hapo inakuwa vp wakuu.
mbona mimi niko sahivi mtandaon na TCU imefunguka.Nimemjazia dogo langu Bacherol of pharmacy muhimbili na capacity imeandika 8 hapo inakuwa vp wakuu.