mimi kuna mtaalam alinijuza kwamba ukiona capacity ipo 0 means that the given institution 2 that program has become full ikiwemo na wewe pia umo ndani yake,,,and when you see negative 5 and whatever means that kuna wa2 watano wamezidi idadi inayotakiwa,,sasa hapo kupata au kukosa hcho chuo itategemea na vigezo ulivyonavyo mfano cutting points(A LEVEL/O LEVEL),,pia kama wanawake wapo weng ktk waombaji huwa wanapewa priority..