Sniper boy
Member
- Jun 26, 2015
- 30
- 2
msaada plz first come first saved wanamaana gan kwa sis tuliokosa vyuo,,,, na dilisha la second round linafungwa lin,,??
Kwa jibu nililopewa sasaivi linasema hivi,
Vile vyuo ulivyochagua vinatakiwa vyote vionyeshe priority capacity ni 0, thn jibu mtapewa kwa pamaoja kwamba chuo ulichochaguliwa ww n hiki,
So information ya ww kujuwa kwamba umechaguliwa au hujachaguliwa itakuja baadae
Tena kwa pamoja na watu wote waliochaguliwa
msaada plz first come first saved wanamaana gan kwa sis tuliokosa vyuo,,,, na dilisha la second round linafungwa lin,,??
acha kupotoshaFirst come first save maana yake n hivi, unanafasi moja tu ya kuchose chuo unachokita, na ukishakiselect "add" hutaweza tena kubadilisha chuo au chaguo lako
Example: umechagua st joseph, ukaja ukapata taarifa kuwa chuo kinaongozwa na masister na hakina uwongozi wa wanafunzi, kina ada kubwa, kunausumbufu wa mikopo,wanaita attendence kama shule ya msingi, attendence below 85% hutafanya mtihani wa mwisho doesn't matter we n jembe au genius kiasi gani
Hzo sifa zkakukera ukahitaji kubadilisha chuo au choice yako, bac juwa kwamba haita kubali kwasababu ni first come first save, pia capacity na zenyewe znapunguwa,
Inakuwa kama gusa unate
Naomba kuwasilisha mkuu..!
Habari Wana jamii wenzangu, mimi nilifanya application Nacte baada ya Muda nikakuta umebaki choice moja na upande wa status imeandikwa selected, but tarh za hapa juzi nakuta choice zimerudi kama awali na chuo kilichokuwa selected capacity unasoma 0, kiukweli nime panic ndugu zangu naombeni msaada hapo nn kinaendelea?
acha kupotosha
Thanks allot young mdogoo coz now I feel owkey my brother.
naongelea iyo issue ya first comes first servedMkuu acha kuropoka,hatupo kwenye siasa hapa,tunaongea v2 vilivyopo,huamini mweke mtoto wako chuo cha chenye ada milion 6, alaf utake kubadilisha ndio utajua habar yake
naongelea iyo issue ya first comes first served
naongelea iyo issue ya first comes first served
Mkuu kumbe huna ufahamu mzuri wa hiyo issue
Ngoja nikupe hint moja thn utaielewa vzur, waulize vijana waliopo chini ya TCU and then wakapelekwa second round kutokana na competition kuwa kubwa kwenye vyuo walivyochaguwa, na wakaapply chuo,
hawo watakupa majibu mazuri ambayo utayaelewa na ukiona maelezo yao hayana tofauti na niliyoyatoa hapo juu, nafikiri utakuwa umejifunza jambo
wewe bichwa box acha ubishiPointless
Kweli hapo kwenye "first come first" katupotosha
100/100 excellent!!hivi uo usemi kwa akili yangu ya brn si naweza sema "wa kwanza kuingia ndiye wa kwanza kuhudumiwa" sasa kwa hapo kwenye kuapply maana yake kama chuo kinahitaji watu 10 then wakaomba watu 20 basi wale kumi wa kwanza ndio watakua wakwanza kuhudumiwa. Au nimekosea jamani maana english nayo ni lugha ya pili kwetu uku
Kama kapotosha tunaomba urekebishe. . . Na sio kusema umekosa na jibu hulijui. Naomba utueleze ndugu
100/100 excellent!!