Mbn jina la koz linajielez kijn... Ukitak kujua kuhusu kazi gugo tuu ... Japo hao jamaa ni mameneja ktk masual ya afya..mfn kua afisa n.k.. vema uka opt md tuuuu...
Mbn jina la koz linajielez kijn... Ukitak kujua kuhusu kazi gugo tuu ... Japo hao jamaa ni mameneja ktk masual ya afya..mfn kua afisa n.k.. vema uka opt md tuuuu...
wakuu nilifanya application kupitia nacte coz nna diploma ya medical lab nilitaka nifanye degree sasa kwa profile yangu leo hii saa izi kwny capacity ni 0(zero)it means nimeshakosa au?na nifanyeje?wenye uelewa please mnisaidie nimechanganyikiwa...
CCM oyeeee....!!! CCM mbele kwa mbele..!!! (joking)
Matokeo ya mwaka huu walitoa kisiasa hata wazembe wamepiga distinction kwa hiyo competition imekua kubwa sana..wenye vigezo wengi,vyuo vichache. Pole mdogo wangu tulia tu ujipange