Kwahilo inabidi tuwe wapole mpaka wao watakavyo amua mana hata hyo cas haipatikani kwa sasa
kuna jamaa alikuwa jkt karudi juzi tu hapo yeye hakufanya application sa sijui inakuwaje anaweza kuapply sasa pamoja nahawa wa second round?
sawa mkuuinaruhusiwa ila sasa coz nyingi nzuri zinakuwa zimejaa
st.joseph ya wapi ya mbezi luguruni ya Arusha au ya songea?mi nimeiweka ya mbezi civil eng choice ya nne kwa hiyo imekula kwangu mkuu?wadogo zangu na wakubwa zangu fanyen mfanyavyo lakin uckosee ukaaplly st joseph yeyote maana utajuta hata kama ni tenth selectio! ni bora ukakosea kuoa kulikokuja st joseph
Jamani nisaidieni nimeweka hii course hila siijui vizuri mwenye kuijua aniambie ipoje COMPUTER AND INFOROMATION SYSYTEM SECURITY-UDOM, JE hii course ni mzuri kushinada HEARTH INFORMATION SYSYTEM
zimegoma kwa sababu ya plane
Ulijaza vyuo VP mkuu?Daah..B plane zote tatu ktk PCB zimegoma hii TCU kulaleki,, Physics B,,chemistry B na Biology B..nataka kujaza health system management UDOM.
nataka kuwa dokta..sasa nifanyeje...hii.heath system ndo unakukuwa nani ukimalza?
Management=manager..... Jifunze kuandika vizur asa unapohitaji msaada..