Niliandikiwa jana but skuichagua hiyo cozi moja kama walivyosema, so baada ya kuapdate hiyo system yao ,sisi wanaweza wakatuchagua bila ya kuapply tena second round???

nimesoma pure art o level na advance kisha nikabahatika kusoma mifugo diploma liti mpwapwa.swali je ninaweza kupata nafasi nisome bachelor of animal science?