chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,662 Reaction score 3,199 Sep 10, 2015 #381 ukiona hivyo kuna baadhi ya vyuo vishaanza kusajili ndo maana capacity imepungua
K Kanda Wakamkanda Member Joined May 3, 2015 Posts 36 Reaction score 6 Sep 10, 2015 #382 cute b said: Yaani japo sijajua kama zimebadilika ila ukiona hivyo ujue hawasajili watu kwenye hizo program kutokea NACTE Click to expand... Ni kweli inamaanisha hakuna nafasi ama hawachukui watu
cute b said: Yaani japo sijajua kama zimebadilika ila ukiona hivyo ujue hawasajili watu kwenye hizo program kutokea NACTE Click to expand... Ni kweli inamaanisha hakuna nafasi ama hawachukui watu
Abby195 Senior Member Joined Aug 2, 2015 Posts 183 Reaction score 32 Sep 10, 2015 #383 Kanda Wakamkanda said: Ni kweli inamaanisha hakuna nafasi ama hawachukui watu Click to expand... Acha uongo hyo ni mtandao umekaa ovyo sababu wengine hata majina ya vyuo na course hayapo imebaki priorities tu
Kanda Wakamkanda said: Ni kweli inamaanisha hakuna nafasi ama hawachukui watu Click to expand... Acha uongo hyo ni mtandao umekaa ovyo sababu wengine hata majina ya vyuo na course hayapo imebaki priorities tu
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 Sep 11, 2015 #384 Kwa walee ambaoo wameomba diploma udom kupitiaa mfumoo wa pamoja yaani (CAS).mbona profile zinaandikaa error ya email na password na wakati vyote vipo sahihi...?!! Kuna nini nacte mwenye ufahamuu atujuzee jamaniii....
Kwa walee ambaoo wameomba diploma udom kupitiaa mfumoo wa pamoja yaani (CAS).mbona profile zinaandikaa error ya email na password na wakati vyote vipo sahihi...?!! Kuna nini nacte mwenye ufahamuu atujuzee jamaniii....
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #385 wapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa me ni mfanyakazi wa maeneo ayo
wapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa me ni mfanyakazi wa maeneo ayo
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #386 wapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa. Karibuni nyote
josaya JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 389 Reaction score 116 Sep 11, 2015 #387 kikoozi said: wapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa. Karibuni nyote Click to expand... Nimeona kwenye profile yangu kuna o capacity na choice hazijachange bado na lini? majibu yatakuwa tayari
kikoozi said: wapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa. Karibuni nyote Click to expand... Nimeona kwenye profile yangu kuna o capacity na choice hazijachange bado na lini? majibu yatakuwa tayari
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #388 josaya said: Nimeona kwenye profile yangu kuna o capacity na choice hazijachange bado na lini? majibu yatakuwa tayari Click to expand... chuo usika wamechukua maombi na wanashugulikia, kwaiyo wait
josaya said: Nimeona kwenye profile yangu kuna o capacity na choice hazijachange bado na lini? majibu yatakuwa tayari Click to expand... chuo usika wamechukua maombi na wanashugulikia, kwaiyo wait
mbusage JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 447 Reaction score 123 Sep 11, 2015 #389 kikoozi said: chuo usika wamechukua maombi na wanashugulikia, kwaiyo wait Click to expand... Heeeeeeeee
kikoozi said: chuo usika wamechukua maombi na wanashugulikia, kwaiyo wait Click to expand... Heeeeeeeee
A athumani chabruma Member Joined Jul 29, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Sep 11, 2015 #390 kaka mm profile yangu haifunguki
A athumani chabruma Member Joined Jul 29, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Sep 11, 2015 #391 tcu wanatoa lini majina
felijose JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 201 Reaction score 59 Sep 11, 2015 #392 Naona cas.tcu.go.tz haipatikani tokea jana? Kuna tatizo au?
A athumani chabruma Member Joined Jul 29, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Sep 11, 2015 #393 mara ya mwisho nilikuta wameniandikia validate program
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #394 athumani chabruma said: kaka mm profile yangu haifunguki Click to expand... Wanafany update usiwe na wasiwasi
athumani chabruma said: kaka mm profile yangu haifunguki Click to expand... Wanafany update usiwe na wasiwasi
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #395 athumani chabruma said: tcu wanatoa lini majina Click to expand... Mwanzon mwa mwezi 10
A Amadu De hunter Member Joined Aug 30, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Sep 11, 2015 #396 Tcu na nacte ndio nn
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #397 felijose said: Naona cas.tcu.go.tz haipatikani tokea jana? Kuna tatizo au? Click to expand... Wanafanya update
felijose said: Naona cas.tcu.go.tz haipatikani tokea jana? Kuna tatizo au? Click to expand... Wanafanya update
M Mr. Teacher JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 330 Reaction score 88 Sep 11, 2015 #398 CAS haifunguki toka jana
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,142 Reaction score 3,189 Sep 11, 2015 #399 Mr. Teacher said: CAS haifunguki toka jana Click to expand... Update mkuu
A athumani chabruma Member Joined Jul 29, 2015 Posts 20 Reaction score 0 Sep 11, 2015 #400 kwa hy validate program ina maana gani