Kwa ajili ya watu wa dip ambao wana GPA isoruhusu kuomba chuo au kozi yoyt ya university,,,,, so lazma wafany mitahan ambayo ni mitatu katika vyuo vitano tu vilivyosajiliwa na program hyo!
Mfano, UDOM kwa masual ya eduction tu ndo utapga pepa pale ili upate GPA ya kwend chuo chcht.
Itaendelea.....