flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
ivi mtu aki apply leo kabla ya saa 6 usiku...itakubaliwa?
Hivi siku zote hizo Ulikuwa wapi ndugu eeehhh hebu jalibu bwaanaa
wanazingua nacte wamesema wametuma password .
na username kwenye email ila sijaona mpk ss toka saa kumi...nawapigia hawapokei
unapply kupitia nacte au tcu?
nacte mkuu
nacte mkuu
Hauna vocha ya NACTE au nini tatizo?
nimenunua vocha wakanitumia code ,nikaingiza na taarifa za mwanzo kama email,phone no n.k...nilivo click continue ikaload afu haikudisplay chochote,nikaziingiza upya wakanambia io code ishatumika na wametuma username&password kwenye email...ila mpk sasa kwenye email sijaona chochote...nimewapigia m-pesa wamesema nijaribu wasiliana na nacte...ila hawapokei simu
nimenunua vocha wakanitumia code ,nikaingiza na taarifa za mwanzo kama email,phone no n.k...nilivo click continue ikaload afu haikudisplay chochote,nikaziingiza upya wakanambia io code ishatumika na wametuma username&password kwenye email...ila mpk sasa kwenye email sijaona chochote...nimewapigia m-pesa wamesema nijaribu wasiliana na nacte...ila hawapokei simu
Pole mkuu jiandae kukaa mwaka nyumba mwakani utajitahidi kuwaii
mwisho kesho mkuu,ivo bado na chance afu we si ulikosea fomu ya mkopo mkuu
hivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie
Tatizo ni NETWORK database yao inashindwa ku update lakini after deadline utaona inabadilika
nilivyoona uzi wako na mimi ikabidi nifatilie manake at first nilikuwa najipa matumaini kwenye coz zangu kama moja nimeijaza yaani inaonesha hakuna ata mmoja 1st to 5th priority tena nikaiweka ya kwanza, ila nimehakikisha kwa kutumia profile mbili na ya jamaa angu nikawa naadd kule af nachech yangu ila namba ni ile ile, kumbe nilikuwa chakka, anyway liwalo na liwe baada ya keshohivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie
nilivyoona uzi wako na mimi ikabidi nifatilie manake at first nilikuwa najipa matumaini kwenye coz zangu kama moja nimeijaza yaani inaonesha hakuna ata mmoja 1st to 5th priority tena nikaiweka ya kwanza, ila nimehakikisha kwa kutumia profile mbili na ya jamaa angu nikawa naadd kule af nachech yangu ila namba ni ile ile, kumbe nilikuwa chakka, anyway liwalo na liwe baada ya kesho
hawa tcu nao sasa wanazingua,coz wanatupeleka chaka balaa,unaweza kujipa moyo mwisho ukakosa chuo hv hv