TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Wakuu nisaidieni nmetuma malipo via M pesa but sijapata token kutoka Tcu nafanyaje?

Yani hapo ndiyo imepotea tena mimi pia nilikosea mpaka leo nina vocha ya NACTE ..sijarudishiwa pesa yangu.
 
Mimi nilituma tar 10 nikakosea nikatuma NACTE..nikapiga voda wakanipa namba ya NACTE..nao hawarudishi hela ni non-refundable..ikanibidi ninunue vocha nyingine
 
bado , reference namba ya TCU katika malipo ni ngapi km ile 1234 ya NACTE au TCU unaweka business number tu,
juzi nilifanya malipo ndio yalienda nacte
nimegundua hii baada ya mkuu mmoja kuuliza na ww ukamjibu kuwa hiyo iliyoenda NACTE amekosea na hairudishwa
 
bado , reference namba ya TCU katika malipo ni ngapi km ile 1234 ya NACTE au TCU unaweka business number tu,
juzi nilifanya malipo ndio yalienda nacte

*150*00# 2. Select option # 4: Pay via M-PESA 3. Select option #4: Enter Business number: 240077 4. Enter payment reference number: 123456 5. Enter Amount: 50,000/- 6. Enter your PIN 7. Enter 1 to confirm  You will receive an M-PESA notification SMS confirming your transaction.  You will then receive another SMS from TCU with voucher Number that you can use as Payment ID on the Central Admission System (CAS) for registration
 

pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…