thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
Siyo kweli deadline ni tar 15 aug
Ila mchakato wa second roll ndio utaendelea mpaka tar 31.
Hiyo ndio taarifa rasmi.
Sababu kunavyuo vinafungua mwez wa tisa
hbarini wana jamvi naomba uliza deadline ya tcu apllication for 2015/2016 ni lini
Mbona nikiingiza confirmation code.NACTE BD00X32 system inasema imekosewa? Shida iko wspi???
Mbona nikiingiza confirmation code.NACTE BD00X32 system inasema imekosewa? Shida iko wspi???
samahani nacte nlikuwa napenda kufahamu kuwa mhula wa masomo afya unaanza lin?
Mbona thread imeanzishwa af maswal haya jibiw.
Uliza kuhusu NACTE utajibiwa ila usiulize tarehe ya kutoa post zozote ulizoapply.
kila nikijaribu kuweza reg no ya diploma nalatewa ujuumbe huu
Examination/Graduationu Year Names Mismatch with the names provided during registration, check the and try again (Code 4002)
kwa nini? au nifanye je ??
unataka kuaaply au kama kuapply angaliaga na dead line