Wanajamiii tcu inashida sana kuna watu wanaomba baadhi ya faculty inagoma eti hawana vigezo saingine inakubali afu baadhi ya account zngne za watu hazina kuchek eligibility znakubali tu ukijaza faculty yoyote mbona wanachanganya mambo, kama kuna mtu kawasiliana nao msaada jameni afu mda unazidi kwenda