Mponda 02
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 532
- 507
PCM, PCB, HGLKwanza Mzumbe kuna PCB kweli?
PCM, PCB, HGLKwanza Mzumbe kuna PCB kweli?
Nadhani umejikanganya hapo.Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Kwani wenye diploma hawajasoma form six boss?Acha ujinga wewe.
Aliyesoma diploma ya Pharmacy Kuna digrii yake na aliyesoma maabara kuna digrii yake, kwanini unataka uchanganye mambo. Yaani ni sawasawa eti mtu kasoma diploma ya Sheria eti akasome sociology.
Wale wa form 6 wanasoma Physics, Chemistry na Biology ambapo unawapa nafasi ya kusoma kada ya afya anayoitaka kutokana na ufaulu aliopata.
Anaweza akawa amesoma kufika form six lakini ufaulu ukawa chini, hivyo akaenda kupiga Diploma kwa kutumia ufaulu wa Kidato cha nne.Kwani wenye diploma hawajasoma form six boss?
Hawajasomaa ndio na kama walisoma basii walifelii na kama walifelii ni sawa na haakusomaaKwani wenye diploma hawajasoma form six boss?
Kuna waliofaulu wakachaguliwa vyuo vikuu kozi ambazo hazina soko,mtu anaona bora akasome kozi ya afya ngazi ya diploma sababu ya ajira. Nina jamaa yangu alisoma degree ya ualimu mpaka kamaliza,akaamua kwenda kusoma diploma ya Afya.Hawajasomaa ndio na kama walisoma basii walifelii na kama walifelii ni sawa na haakusomaa
PCB, PCM, HGL, shule zote za vipaji kwa wanaume zina hizo comb 3 tyuuh.Kwanza Mzumbe kuna PCB kweli?
Kwa diploma physics haiangaliwi, tafuta guidebook usome, sio unaropoka tuAcha uongo wewe huwezii kwendaa kusoma diploma ya pharmacy bila kuwa na angalau D ya physics
InawezekanaAcha uongo wewe huwezii kwendaa kusoma diploma ya pharmacy bila kuwa na angalau D ya physics
Ninawasiwasi na wewe 🙆🏻♂️Kwanza Mzumbe kuna PCB kweli?