TCU na wizard ya elimu siwaelewi

TCU na wizard ya elimu siwaelewi

Diploma zote za afya kuanzia clinical medicine, nursing and midwifery, medical laboratory nk lazima uwe ume faulu phys ila kwa pharmaceutical science hata update mswaki unasoma
Sijawahi kufuatilia hii aise
 
Sijawahi kufuatilia hii aise
Ndo mana wengi wanakimbiliaga huko kwenye pharmaceutical science ndo utakuta wapo hata 700 kwa intake moja kwa sababu ya kufeli hiyo phys ingawaje wengi walitamani wasome kada zingine za afya ila phys imewatema.
 
Km hiyo level ya Diploma, clinical medicine imekushinda, MD unataka ukafanye nn? Unacheza na kada ya Afya??
Mtu anapoleta mada usije ukadhani yeye ndiye mhitaji, kama unataka tushindane kwa kuweka mavyeti kama wahaya njoo, kifupi ukisikia maana ya Nsomili ndio mimi sasa
 
Ndo mana wengi wanakimbiliaga huko kwenye pharmaceutical science ndo utajuta wapo hata 700 kwa intake moja kwa sababu ya kufeli hiyo phys ingawaje wengi walitamani wasome kada zingine za afya ila phys imewatema.
Ok! I now know
 
Labda kwenye vyuo vya private coz kwenye vyuo vya serikali Kuna competition kubwa
 
Acha ujinga wewe.
Aliyesoma diploma ya Pharmacy Kuna digrii yake na aliyesoma maabara kuna digrii yake, kwanini unataka uchanganye mambo. Yaani ni sawasawa eti mtu kasoma diploma ya Sheria eti akasome sociology.

Wale wa form 6 wanasoma Physics, Chemistry na Biology ambapo unawapa nafasi ya kusoma kada ya afya anayoitaka kutokana na ufaulu aliopata.
Kichwa maji kweli yaani hata hujui kuna uhusiano gani kati ya diploma na bachelor na kidato cha sita na bachelor, mfano UGANDA , ukisoma diploma ya pharmacy mfano unaweza kusoma MD au Maabara au Pharmacy,kwanini ni basic gan wanayo izingatia ili hali wote mnaanza kusoma kozi zile zile?
 
We kweli kiazi.Muongozo unaotumika ni huo huo mmoja kwa vyuo vyote haijalishi serikali au private maana vyote vipo chini ya Nacte.
Wewe ndiyee kiazii nimemaanisha kwa sababu ya competition kuwa kubwa ni ngumu kumpata mtu mwenye F ya physics akisoma pharmacy kwenye vyuo vya serikali mbona unakazaa fuvuu
 
Kichwa maji kweli yaani hata hujui kuna uhusiano gani kati ya diploma na bachelor na kidato cha sita na bachelor, mfano UGANDA , ukisoma diploma ya pharmacy mfano unaweza kusoma MD au Maabara au Pharmacy,kwanini ni basic gan wanayo izingatia ili hali wote mnaanza kusoma kozi zile zile?
We ndo kichwa maji mmoja , uliyepata division four, ukasoma diploma hizo alafu unashindwa kusoma udaktari kutokana na vigezo, Ina maana diploma ya C.O hukuiona? unataka unifundishe nini?

Hizi diploma lengo lake kubwa ni kuwaspecialize watu at a lower level Ili wakivuka mitihani Yao ya Nacte na kuenda kusoma tena kitu kilekile na experience kutokana na fields walizofanya inawashape kuwa Bora zaidi kuliko kuwe na mikanganyiko kama unayoitaka.
.
 
Mimi nilisoma PCB, nalimaliza mwaka 2010 Mzumbe, na nimesoma MD,na baadae BMLS MUHAS na KCMC, unalaziada?
Sasa kinacho kushangaza hapa n nn? Km kweli ulipitia hivyo vyote.
 
Kichwa maji kweli yaani hata hujui kuna uhusiano gani kati ya diploma na bachelor na kidato cha sita na bachelor, mfano UGANDA , ukisoma diploma ya pharmacy mfano unaweza kusoma MD au Maabara au Pharmacy,kwanini ni basic gan wanayo izingatia ili hali wote mnaanza kusoma kozi zile zile?
Huko Uganda sijuii coz Wana syllabus Yao but bongo hapa mfano kwenye Engineering ukisoma diploma ya civil engineering huwezii kwenda kusoma degree ya electrical au mechanical lkn aliyemaliza form six PCM yeye anasoma kozii yeyote anayotaka ya Engineering
 
Mtu anapoleta mada usije ukadhani yeye ndiye mhitaji, kama unataka tushindane kwa kuweka mavyeti kama wahaya njoo, kifupi ukisikia maana ya Nsomili ndio mimi sasa
sasa nani unamtisha hapaa? Wee ndo unaelia lia na mfumo unaokataa Dip ya Lab na pharm kutokwenda MD.

mie nilipita njia yangu iliyonyooka na kufikia hapa nilipofika, na ndo maana sijalalamika na silalamikii.

Poleeeeeeh.
 
Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Huweziii kuwa msomii kama ulivyojieleza hapo halafu ukashindwa kujuaa vitu vyepesii kama hivii
 
Back
Top Bottom