TCU na wizard ya elimu siwaelewi

TCU na wizard ya elimu siwaelewi

We ndo kichwa maji mmoja , uliyepata division four, ukasoma diploma hizo alafu unashindwa kusoma udaktari kutokana na vigezo, Ina maana diploma ya C.O hukuiona? unataka unifundishe nini?

Hizi diploma lengo lake kubwa ni kuwaspecialize watu at a lower level Ili wakivuka mitihani Yao ya Nacte na kuenda kusoma tena kitu kilekile na experience kutokana na fields walizofanya inawashape kuwa Bora zaidi kuliko kuwe na mikanganyiko kama unayoitaka.
.
hii vawulensiii kwa OP, muhurumieni bas.
 
Huko Uganda sijuii coz Wana syllabus Yao but bongo hapa mfano kwenye Engineering ukisoma diploma ya civil engineering huwezii kwenda kusoma degree ya electrical au mechanical lkn aliyemaliza form six PCM yeye anasoma kozii yeyote anayotaka ya Engineering
Kwa case ya engineering na afya ni tofauti, hoja yangu imekuja kwa sababu ya basics za afya
 
sasa nani unamtisha hapaa? Wee ndo unaelia lia na mfumo unaokataa Dip ya Lab na pharm kutokwenda MD.

mie nilipita njia yangu iliyonyooka na kufikia hapa nilipofika, na ndo maana sijalalamika na silalamikii.

Poleeeeeeh.
Umeona mimi nimelalamika wewe matter core?
 
hii vawulensiii kwa OP, muhurumieni bas.
Kuna wajinga wanatafuta huruma kwenye majukwaa.

Mtu kapata division three ya 13 form six, akaamua adumbukie diploma, hizo guidelines hakuziona?

Labda hakufika advance, kala four au three , akaamua asome njia ndefu, uchaguzi alifanya mwenyewe, hatukuwepo sisi kumuamulia then anaanza kufokafoka anadhani sisi ni kama yeye?
 
Kuna wajinga wanatafuta huruma kwenye majukwaa.

Mtu kapata division three ya 13 form six, akaamua adumbukie diploma, hizo guidelines hakuziona?

Labda hakufika advance, kala four au three , akaamua asome njia ndefu, uchaguzi alifanya mwenyewe, hatukuwepo sisi kumuamulia then anaanza kufokafoka anadhani sisi ni kama yeye?
mbavu zinauma kwa kuchekaa.
 
Daa! Naumia sana kuona watu bado wanahangaika na elimu ya kuanza darasa la kwanza had 7 sijui 4m 1 had 4 sijui vyuo vya kati sijui 4m 5 had 6 et chuo kikuu saiz pambania mtoto ajue kusoma na kuandika kiswahili ajue kusoma, kuandika na kuongea kingereza, ajue hesabu za kujumlisha, kutoa, kugawanya na kuzidisha ovaaaaa hayo mengine saiz ni upuuzi tuuuu tubadilikeee tukomboe wanajiita wasomi wapate wateja mtoto simtesi na ma integration au differeciation sijui motion sijui mirror reflection angle upumbavu huu niliingia coz nilikuwa sijui kinachoendelea saiz naelewa
Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
 
Back
Top Bottom