TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao na tcu hayumo kutokana na chuo alichodahiliwa kuzidisha wanafunzi kulingana na uwezo wao wa kudahili na wananishauri niombe upya au chuo kingine naombeni msaada mana kwenye majina waliopata mkopo mdogo wangu yumo
 
Mbona Kuna mahali nimeona udsm wametangaza maombi upya
Ndio ila mdogo wangu alichaguliwa awamu ya pili lakini muda wote wamekaa kimya lakini leo asubuhi ndio wamenitumia sms kuwa wamezidisha nafasi walizo nazo na natkiwa kuomba upya tena
 
Aombe tena lakini pia kama ana orodha ya majina ya awali ambapo na jina lake lipo. Nadhani aichukue aende nayo TCU huenda akapata.
 
ata mm Nina tatizo hilo nmeamka tu asbuh nakutana na hyo SMS nkasema ngoja niingie kwnye profile yangu nakuta hyo hyo sms .nilichagiliw mkwawa bed arts
 
Kiukweli mm nimechaguliwa awamu ya kwnz ud na dit ... Ila dit tcu wakareject matokeo yangu eti kisaa naoneka bado mwanafunzi sijamliza kusoma. Na huku tiar udsm wamenichagua kweli ni usumbufu ata kwny kupata mkopo itasumbufua sana ... Dit walinipa taarifa kwamba nipo multliple selection awamu ya tatu. Ndo tcu inakumbuka kutuma code
 
Haya mambo yanasumbua sana daaaaa
 
Mkuu
Aombe tena lakini pia kama ana orodha ya majina ya awali ambapo na jina lake lipo. Nadhani aichukue aende nayo TCU huenda akapata.
Orodha hawakutoa ya second selection ila profile ndio ilikuwa inaonesha kuwa amechaguliwa mkwawa university. Sasa nashangaa asubuhi wanatuma sms sasa najiuliza kwa nini wakae kimya muda wote huo ili mtu aombe mara ya tatu wanakuja kusema kwenye raundi ya nne?
 
Habari ....
Nakushauri kwanza ungeenda TCU ukarepoti then watakusaidia wao kuwasiliana na chuo husika lakini husije ukaanza kwenye mkwawa kwani watakupa maelezo mabaya nenda tcu mapema ujuwe umepangiwa wapi .

print taarifa zako za awali na uwasilishe tcu.
 
Habari ..

Ivi mkopo wametoa kwa selection round ya kwanza na yapili au?mpaka ya tatu ?
Msaada kwa mwenye uelewa kidogo
 
Habari ....
Nakushauri kwanza ungeenda TCU ukarepoti then watakusaidia wao kuwasiliana na chuo husika lakini husije ukaanza kwenye mkwawa kwani watakupa maelezo mabaya nenda tcu mapema ujuwe umepangiwa wapi .

print taarifa zako za awali na uwasilishe tcu.
Ahsante mkuu nashukuru ila niko mbali kidogo natafuta mtu ambaye yupo dar
 
ata mm Nina tatizo hilo nmeamka tu asbuh nakutana na hyo SMS nkasema ngoja niingie kwnye profile yangu nakuta hyo hyo sms .nilichagiliw mkwawa bed arts
Udsm wajitathmini upya,kwani toka mwanzo hawakujua capacity ya chuo ni wanafunzi wangapi wanatakiwa kwa mwaka wa kwanza?

Sasa umechaguliwa umefurahi na maandalizi umeanza unakuja kukutana na pumba kama hizi. Basi TCU wawapange vyuo vingine vyenye nafasi kuliko kuwasumbua muombe tena wakati kuna vyuo wametoa 4th round applications

Shuwaini kabisa
 
Habari ....
Nakushauri kwanza ungeenda TCU ukarepoti then watakusaidia wao kuwasiliana na chuo husika lakini husije ukaanza kwenye mkwawa kwani watakupa maelezo mabaya nenda tcu mapema ujuwe umepangiwa wapi .

print taarifa zako za awali na uwasilishe tcu.
Tuna wasomi ambao hawajielewi mkuu. Wanakera sana
 
Habari ....
Nakushauri kwanza ungeenda TCU ukarepoti then watakusaidia wao kuwasiliana na chuo husika lakini husije ukaanza kwenye mkwawa kwani watakupa maelezo mabaya nenda tcu mapema ujuwe umepangiwa wapi .

print taarifa zako za awali na uwasilishe tcu.
Haya ndio majibu y
Udsm wajitathmini upya,kwani toka mwanzo hawakujua capacity ya chuo ni wanafunzi wangapi wanatakiwa kwa mwaka wa kwanza?

Sasa umechaguliwa umefurahi na maandalizi umeanza unakuja kukutana na pumba kama hizi. Basi TCU wawapange vyuo vingine vyenye nafasi kuliko kuwasumbua muombe tena wakati kuna vyuo wametoa 4th round applications
Sijawaelewa nimewatumia email tcu hawakujibu na namba zao sina
 
Wanasema overcapacity daaaa inauma sana
Nimeona law, bcom na economics bado zinahitaji watu hapo udsm .. Ina maana kozi za ualimu zimekua hot mpaka zinajaa mapema kuliko hizo nilizozitaja hapo au wanataka kuwalia watu pesa zao tu?
 
Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao na tcu hayumo kutokana na chuo alichodahiliwa kuzidisha wanafunzi kulingana na uwezo wao wa kudahili na wananishauri niombe upya au chuo kingine naombeni msaada mana kwenye majina waliopata mkopo mdogo wangu yumo
Wewe kaza nenda hapo hapo kama unaushahidi ulichaguliwa kaza , uzembe wao usikugharimu wewe chuo kikifunguliwa nenda kama kawa
 
Back
Top Bottom