Uliomba vyuo VP?
Kcmc,udom,muhas,ajuco,na bugando both first na second

Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
sema familia hazna uwezo kuna vilaza weng tu wameenda IMTU,KIU na st.joseph...na GPA zao 1.7 huku waliopata GPA 3.0 familia zao hazwez kumudu gharama za prvate
Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
Duh!mkuu umetumia maneno makali sana,nahisi huyo dogo kashavunjika moyo tayari..!
Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
Unaruhusiwa kujib lkn kuna njia za kujib ukipata merit haina maana ni kilaza
Anyway pole sana bro ila km una uwezo opt for private institution
Kwa medicine na kwa chuo kama Muhas na kwa BRN na kwa mwaka huu ambapo Combination kama PCB, CBG distinction za kumwaga ,huyo dogo acha nimwite kiraza.
Hawa wadogo zetu wanapaniki hasa iki kipindi inabd tuwa-please
Sis ndio wakuwaelekeza