Nursing mbona shavu sanaaaaaTCU wanazingua afu wakikuacha round ii c nursing & education vina kuita
Mkuu hata nursing hutoiona na matumaini hayo
J3 mkuu sio leoKwan mpka jtatu au leo mbon siwaelew tcu
Ingekuwa Leo ni Siku ya kazi wangeweza kuachia hata leo! Hata hivyo kesho siyo mbali!Hrs remain 22hrs msijal
Kesho pia ni skukuu.. half nacte siiamini sana waweza wakatoa hata jumatatu ya next week...Ingekuwa Leo ni Siku ya kazi wangeweza kuachia hata leo! Hata hivyo kesho siyo mbali!
Kesho pia ni skukuu.. half nacte siiamini sana waweza wakatoa hata jumatatu ya next week...
Yanatoka majibu ya waliopata ww km umekosa uta apply tena n week moja tu vyuo vikishafunguliwa hamna hatakae apply so utangojea mwakanuWatatoa waliokosa au watafungua vyuo vyote ili uone kama haupo ndo uombe tena,!!!!!!???
mkuu hyo kesho utacheka ukiish tz chcht chawez kutokeaKesho pia ni skukuu.. half nacte siiamini sana waweza wakatoa hata jumatatu ya next week...
Hawa vijana wana matatizo kweli aiseee, hebu tazama majibu yake kwanza.we bwana mdogo acha kubishana na wazazi wako kuwa na adabu
Hawa vijana wana matatizo kweli aiseee, hebu tazama majibu yake kwanza.