Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
HahaaaaaEbu waambie presha nying alaf wameomba bachelor's of art in music
[emoji1] lakini sio lazima kuwa na dem chuo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndio mana udom ukiingia tu unaambiwa
"SPREAD KNOWLEDGE NOT VIRUS"
Lazima uwe na demu wa kukuriwaza mkuu si unajua masomo magumu la sivyo utapata supplementary kila semester[emoji1] lakini sio lazima kuwa na dem chuo
Kwel mkuu sio lazma kuwa na dem chuo.[emoji1] lakini sio lazima kuwa na dem chuo
[emoji1] Sawa mkuuLazima uwe na demu wa kukuriwaza mkuu si unajua masomo magumu la sivyo utapata supplementary kila semester
Kupata sup university mda mwengne n kutaka mwenyew.Lazima uwe na demu wa kukuriwaza mkuu si unajua masomo magumu la sivyo utapata supplementary kila semester
Watoto wa virusi ???, [emoji88][emoji88][emoji88][emoji88][emoji88]Kupata sup university mda mwengne n kutaka mwenyew.
Nan kakwambia kua na dem muhmu ila ukumbuke kule kuna watoto wa virus.
Sasa ukivamia vamia unaweza ukaja kujinyonga ata kabla ujamalza chuo.
Tunatumia condoms mkuuKupata sup university mda mwengne n kutaka mwenyew.
Nan kakwambia kua na dem muhmu ila ukumbuke kule kuna watoto wa virus.
Sasa ukivamia vamia unaweza ukaja kujinyonga ata kabla ujamalza chuo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] condom unaiamin sana.Tunatumia condoms mkuu
Una haraka gani unakula kwa wazazi, kulala, kuoga na chooni unaenda bila malipo...tulia weweJamn kila kukicha nasubir labda leo,,,,, labda kesho, na hasa tangazo lao ndo lilinichanganya kabisa,,!!!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]za chuo, au unafkr na kule utavaa tomato na suruali nyeusi
Aaa wap kama kuanzia elmu ya secondary ckuwa nao mpaka nafka chuo iyo miaka ya chuo mbona nitapita kwa uwezo wa Mungu kama uku kwngneLazima uwe na demu wa kukuriwaza mkuu si unajua masomo magumu la sivyo utapata supplementary kila semester
Kwel kabsa hzo presha n wale wenye DDE, CEE.. halaf unataka udsm kwann second ikukosewenzio wenye ABB hizo presha hawana, ulikua wapi kipindi wenzio wanasoma?
Hahahha.. una akili kama avatar yako.. huyo kwa avatar ni dada ako au?Kwel kabsa hzo presha n wale wenye DDE, CEE.. halaf unataka udsm kwann second ikukose
Sio maneno hayo!! Ufaulu wa mtu sio bahati ya mtu!! Kikubwa ni bahati tu!! Ulikuwa Tz 1 nini...!!wenzio wenye ABB hizo presha hawana, ulikua wapi kipindi wenzio wanasoma?