TCU mtatuua kwa presha

TCU mtatuua kwa presha

hivi kama mtu ana DDE anaweza pata md kwa pcb au nursing,... presha sana nisaidieni nyie wapinga maendeleo[emoji123]
 
Usujifanye kama chuo unakijua sana nyie ndo mnavijulia vtu ukubwani yan mpka uende chuo ndio uanze kupendeza duu,,,!???
[emoji3][emoji3][emoji3] alaf hawa wako weng.
Wakifka chuon wanakua micharuko.
Na kusahau kilichowapeleka.
 
a3cb5e16c07e0491baf19f8c1a50687d.jpg
5c7052169c001106d2a7bf2cd5dc326b.jpg



wanatoa vry soon c unaon jana trh 6 wameanza na majina ya RPL mkuu worrY out good vituz ar coming
 
Tar 12 mbal sanaaaaaiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom