Mkuu umeangalizia wapi?Du tayar wametoaaa aseew
Umeangalizia wapi?Mkuu umeangalizia wapi?
Tuwe wapole kwani watu wanaakili za mwendokasiHata kwangu naona iko vile vile
Ingia kwenye hii link af ingiza form four index utaona selection yakoHata kwangu naona iko vile vile
Ntumie nambaako ya form4 nikuchekieHata kwangu naona iko vile vile
Hahaaha kwel raha sanaa dahBongo raha sana matokeo presha, selection za tcu presha, heslb presha plus orientation presha
Awa wa2 chenga sanaDuuuh yan kote presha, alaf mwisho wa cku ajira zenyew za kubahatisha bahatisha tu
Yan apa najiulza juu ya uwepo wa hii teknolojia hapa Tanzania.Awa wa2 chenga sana
Nchiya mateso wa2 wametoa selection jana et wame Deactivate web yao sa cjui wanatubabaisha au ndo tuwabembelez cjui au may b webpage imepitiwa na tetemeko la Ardhi la juz imekufa m cwaelw kabsa naic like hdchxhdnkahhwystwiwhsubzysvzjkzudydhdu
Ani hi hali ni hatarii bob haifai maisha tanzania ndo yanazidi kuwa magum na mbaya zaid na hali yahewa imekasirika ona iv vituYan apa najiulza juu ya uwepo wa hii teknolojia hapa Tanzania.
Naona ndio inatuongezea matatzo tu coz bado hatujawa na uwezo pamoja na elim ya kutosha kuendana na teknolojia ilyopo.
Mwisho wa cku mabuash tu
Mi nshaona but watu wengi walochelewa kupata tarfa mapema bado wana hangaila bob![]()
![]()
![]()
naww ujaonatuuu!!!!!
Duh amean watu weng wajaona badoMi nshaona but watu wengi walochelewa kupata tarfa mapema bado wana hangaila bob
bado pressure number 2 inaitwa *HESLB* ...Lazima ufurahiJamn kila kukicha nasubir labda leo,,,,, labda kesho, na hasa tangazo lao ndo lilinichanganya kabisa,,!!!!