Tcu mnatuweka njia panda tulio nje ya dsm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tcu mnatuweka njia panda tulio nje ya dsm.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HGYTXK, Aug 23, 2012.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wadau najua hili ni jukwaa la kusaidiana kimawazo na fikra,TCU walipoanzisha huu mfumo walituhakikishia kuwa mawasiliano yote kuhusiana na selection yatafanyika kimtandao na ndio maana walitoa e-mails za ikiwa ni pamoja na namba zao za simu za mezani na mkononi ili kurahisisha mawasiliano.Mie ni mmoja kati ya wenye matatizo nao,profile yangu TCU inaonyesha tayari nimechaguliwa Bsc in Geoinformatics pale Ardhi University ila cha ajabu leo ARU wametoa majina ya waliochaguliwa huku jina langu likikosekana.Najaribu kuwapikgia kwenye namba zao zote hazipatikani na option ya mwisho nimewaandikia e-mail ambayo haina majibu mpaka sasa.Mimi niko Mkoani Mtwara kwa sasa maana ningekuwa Dsm tayari ningekuwa ofisini kwao this time.kwa nini Tanzania tunashindwa kuendana na technology ambayo tayari wenzetu walishaingia tangu miaka ya 80?,hamuoni kama mnatupa tabu sisi watoto wa wakulima huku mikoani.
  Ushauri wenu wadau ktk hili kama kuna anayefahamu lolote kuhusu hiki kilichonitokea.Na cha ajabu ktk hayo majina waliyotoa ARU hii kozi imeonyesha ina watu 6 tu wote wakiwa ni wanaume.
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Pole sana ni pm maana kama dk 20 na kwenda TCU kufuatlia suala la dogo ambaye kapewa kozi ambayo hajaichakua na bodi wamesema kwa kozi hiyo hapati mkopo ng'o
   
 3. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  NimeshakuPM na nimeituma coppy ya e-mail niliyowatumia TCU kwenye e-mail yako.Pamoja mkuu ninakutegemea kupata feedback toka kwako.
   
 4. JOAQUEM

  JOAQUEM JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,439
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu nadhan kama umepitia thread kama UTATA TCU NA UDOM nimelalamika xana kuhusu hili na mimi mwenyewe nina ze same problem kama yako. Mimi kwenye profile langu linaonyesha kuwa nimechaguliwa pale ardhi kwa kozi ya municipal and industrial services engineering lakini jana majina yalipotoka pale ardhi sikuona jina langu n then kozi iyo iyo imetajwa kuwa ina available slot kwa ajili ya watu wa 2rd round tena wanahitajika watu 5 kujazia nafasi lakini kwenye majina ya ardhi wanaonekana wapo full na nilipowapigia tcu wakasema kweli nimechaguliwa pale na natakiwa kujua ivyo na akaongeza kuwa application nilifanyia ardhi au tcu na yule jamaa akaniambia kama unataka nenda kaulize huko chuon. Kwa sababu niko nje ya DSM ikabidi nimtume mtu akaenda pale akawaelezea tatizo wakasema wameipokea kama report ila hawawezi kuishughlikia kwa leo ila wakadai wataifanyia kazi na xaxa nimeamua kuwafuata mwenyewe
   
 5. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pamoja mkuu,nami kuna mtu kaenda kunichekia leo.
   
Loading...