Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]http://4.bp.blogspot.com/-HsaL_58j0dg/VdVd1diHBmI/AAAAAAAAAMM/Os5CXyc8S4A/s1600/jobs+tanzania.png[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Kumb. Na EA.7/96/01/H/81 15 Oktoba, 2015[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]http://4.bp.blogspot.com/-HsaL_58j0dg/VdVd1diHBmI/AAAAAAAAAMM/Os5CXyc8S4A/s1600/jobs+tanzania.png[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 29 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]iv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees)[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]watatu wa kuaminika.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]v. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]- Computer Certificate[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]- Picha moja Passport size ya hivi karibuni.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]vi. Testmonials, Provisional Results, Statement of results, hati matokeo za[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]HAVITAKUBALIWA.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]vii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]viii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ix. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kisheria.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]xi. Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 30 Oktoba, 2015[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]xii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]HAURUHUSIWI.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]xiii. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]xiv. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]http://portal.ajira.go.tz/[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif](Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa Recruitment Portal)[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]xv. MUHIMU: KUMBUKA KUWEKA (ATTACH) BARUA YAKO YA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]MAOMBI WAKATI WA KUFANYA MAOMBI YA KAZI. ANUANI YA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]BARUA HIYO IELEKEZWE KWA KATIBU, OFISI YA RAIS[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]S.L.P 63100 [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]DAR ES SALAAM.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]1.0 AFISA MAMBO YA NJE DARAJA LA II (FOREIGN SERVICE OFFICER II) [/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]NAFASI 8[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]1.1 MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandaa Muhtasari, nakala na taarifa zinazohusu masuala ya kimahusiano ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kimataifa.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuhudhuria mikutano mbalimbali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandaa mahojiano.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kufuatilia masuala mbalimbali ya kimataifa.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kufanya utafiti juu ya masuala mbalimbali yanayohusu uchumi, siasa na jamii.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kutunza kumbukumbu za matukio mbalimbali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]1.2 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa (B.A) ambao wamejiimarisha (major) katika[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]fani ya uhusiano wa Kimataifa (international Relations), Sheria au Uchumi kutoka[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Aidha wawe wamefanya na kufaulu mtihani unaotolewa Chuo cha Diplomasia,[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Dar es Salaam.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]1.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]2.0 AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II) NAFASI 3[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]2.1MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Hili ni daraja la mafunzo katika kazi, hivyo Maafisa wa Sheria katika daraja hili[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]watafanya kazi za kisheria kwa maelekezo ya Maafisa wa Sheria Waandamizi ikiwa ni[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]pamoja na:[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kutoa ushauri na kufanya utafiti wa kisheria pale anapohitajika kulingana na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Wizara, Idara ya Serikali ama sehemu aliko.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kufanya mawasiliano na ofisi nyingine kuhusu masuala ya kisheria kwa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]maelekezo ya Maafisa wa Sheria walio katika ngazi za juu.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]2.2SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ya Sheria kutoka vyuo vinavyotambuliwa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]na Serikali na waliomaliza mafunzo ya uwakili yanayotambuliwa na Ofisi ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Mwanasheria Mkuu wa Serikali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]2.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E kwa mwezi[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]3.0AFISA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS OFFICER GRADE II) [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]NAFASI 2[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]3.1MAJUKUMU YA KAZI[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Hili ni daraja la mafunzo katika kazi hivyo atafanya kazi kwa maelekezo ya Maafisa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Kumbukumbu walio juu yake kwa cheo. Kazi atakazojifunza na kufanya ni zile[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]zifanywazo na Afisa Kumbukumbu Daraja la I:-[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kudhibiti mifumo ya kumbukumbu, kutunza, na kusimamia matumizi ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kumbukumbu.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kutambua na kutafuta kumbukumbu katika masjala.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kudhibiti mfumo wa kumbukumbu zinazozalishwa na kompyuta, kutunza na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kusimamia matumizi yake.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]3.2 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiriwa mwenye Shahada ya Kwanza katika fani ya Utunzaji na Uhifadhi wa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Kumbukumbu (Records management & Archieves), Upimaji na Ramani na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]nyingine zinazolingana nayo kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Serikali. Aidha wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]3.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS D kwa mwezi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]4 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (NYARAKA) DARAJA LA II (RECORDS[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]MANAGEMENT ASSISTANT GRADE II) NAFASI 1[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]4.1 MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Daraja hili ni la mafunzo katika kazi, hivyo atafanya kazi kwa maelekezo ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Wasaidizi wa Kumbukumbu walio juu yake. Kazi atakazojifunza na kufanya ni[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]zile zifanywazo na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja I:-[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ofisi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka nk.) katika mafaili.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]4.2 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne (IV) au sita (VI) wenye cheti cha utunzaji[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kumbukumbu katika fani ya Masjala.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]4.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS B kwa mwezi[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]5 KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (PERSONAL SECRETARY GRADE III) [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]NAFASI 10[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]5.1 MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]wanapoweza kushughulikiwa.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa wakati[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]unaohitajika.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo,[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]5.2 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]5.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa mwezi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]6 MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II) NAFASI 3[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]6.1 MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuidhinisha hati za malipo.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandika taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusimamia Wahasibu Wasaidizi katika kazi zao za kila siku.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kusimamia shughuli za uhasibu kwenye Kitengo cha Idara.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandika taarifa ya maduhuli.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]6.1.1 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiri wahitimu wa kidato cha sita (VI) wenye cheti cha kati cha uhasibu[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif](intermediate stage) kinachotolewa na NBAA au sifa zinazolingana na hizo.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]AU[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Wenye shahada/Stashahada ya juu ya uhasibu kutoka vyuo vinavyotambuliwa[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]na serikali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]6.1.2 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]7 AFISA HABARI II (INFORMATION OFFICER GRADE II) NAFASI 1[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]7.1 MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kukusanya na kuandika habari.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kupiga picha.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandaa picha za maonyesho.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandaa majarida na mabango (Posters).[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kukusanya takwimu mbalimbali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuandaa majarida na vipeperushi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuhifadhi picha na kuhudumia maktaba na marejeo.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]7.2 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Awe na Shahada ya Kwanza au Stashahada ya Juu ya Uandishi wa Habari au[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]sifa inayolingana nayo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]7.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]8 MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) NAFASI 1[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]8.1 MAJUKUMU YA KAZI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati za mahesabu ya Serikali,[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika katika kubainisha vipaumbele vya[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ustawi namaendeleo ya jamii.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]8.2 SIFA ZA MWOMBAJI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kuajiriwa wenye shahada ya Uzamili ambao wamejiimarisha (major) katika[/FONT][/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]mojawapo ya fani ya Uchumi (Economics) au Fedha (Finance) kutoka Chuo[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]chochote kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]8.3 MSHAHARA[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] X.M. DAUDI[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Katibu[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Nafasi nyingine za ajira zipo: Kijiwe Cha Wasomi[/FONT]