3.0. New Minimum Admission Entry QualificationsWapi na lini TCU wamesema E siyo principle?
Hata mwenye AEE Naye ana principle moja maana principle inaanzia D na sio E
kinachoangaliwa ni ufikishe point 4 sio lazima point hizo 4 zipatikane kwa D mbili inaweza ikawa kwa CEE hivi ndivyo itakavyokuwa by the way soon next week Guide book itatoka utapata uchambuzi mzuri sana
Nashangaa sijui kwa nini hawa watoto hawaelewi hili swala, kikubwa katika kujiunga na elimu ya juu ni principle passes 2, zamani principle pass ilikuwa ni E ambayo ni sawa na pointi 1 so points 2 zinakupekeka chuo (sio vyuo vyote, hapo ndo linakuja swala la hizo cut points, kuna chuo ambacho cut points zake ni 5 so hata ungekuwa na hizo D mbili zamani hungeweza kusoma pale...3.0. New Minimum Admission Entry Qualifications
In view of such concerns, the Commission has decided to raise the
threshold for the minimum entry points for admission to university
education. Thus from the 2016/2017 academic year, the new Minimum
Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students shall now be as
follows:
NO. CATEGORY OF
APPLICANTS
MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS
1. Completed A-Level
studies before 2014
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0
points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
2. Completed A-Level
studies in 2014 and
2015
Two principal passes (Two Cs) with a total of 4.0
points (where A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1).
3. Completed A โLevel
studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0
points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
4. Recognition of Prior
Learning
qualification
B+ Grade: where A =75-100, B+ = 65-74, B=50-64,
TCU hawajajichanganya mana kwenye maelekezo wamesema ni MINIMUN TWO PRINCIPAL PASS ambazo ndo kuanzia D mbili and above so ukiwa na AEE unakuwa huna two principal pass.
Watu mnaponzana 4 points katika two principles pass DD wewe mponze mwenziokinachoangaliwa ni ufikishe point 4 sio lazima point hizo 4 zipatikane kwa D mbili inaweza ikawa kwa CEE hivi ndivyo itakavyokuwa by the way soon next week Guide book itatoka utapata uchambuzi mzuri sana
Uliliona tangazoLA wiki hii LA TCU?? ulilisoma?? ulilielewa??Humu tunapotoshana sana utadhan hatujasoma ngoja tusubiri TCU watoe muongozo haiwezekani mwenye dv 2 anaachwa mwenye 3 anachaguliwa.
Inabidi uangalie kama anacutt-off point 5 au 7 je ana principal pass ngapi?kama anazo mbili watamchukua ila kama anayo moja hawawezi kumchukua,ndio maana wakasema atleast two minimun principal pass.Kwahyo mwenye two tena ana cutoff points 7 hana sifa ya kwenda chuo kikuu halafu mwenye three ambae ana cutoff points 5 ndo anakua na sifa ya kwenda chuo kikuu?
Sasa kwenye CEE kuna D mbili hapo?Kama itakua hvyo hakuna matata, ila tofauti na hapo mfumo hauko sawa' nashukuru umeielewa hoja yang cyo kama wachangiaj wengne wanao amin katika kubishana na ujuaji..huku wakiamin kuhoji swala hilo maana yake nawewe ni mhanga.
E ni principal pass na inauzito wa TCU wa point moja.Sorry sikukuelewa mkuu principle D Lakini hiyo E kwa sasa sio principle kama matokeo ndo hayo diploma au reset
Pole sana mdau principle pass ni D mbili ukitaka ingia Web site ya TCUE ni principal pass na inauzito wa TCU wa point moja.
Kimsingi umefaulu masomo 3 ta principal level lakini huna D2 za kuwa considered chuo kikuu.Sasa kwenye CEE kuna D mbili hapo?
Yani hapo kimsingi umefaulu somo moja tuu!
D mbili zinahitajika kwenye masomo mawili tofauti!