TCU mnajichanganya, angalia hapa

Hahhaha kumbe upo makini eeeeh hhhahahahaha mtaisoma namba garbage wewe jiandae kwenda global college
 
Inamana mwenye daraja la 2 hana sifa af mwenye 3 ana sifa iko sawa hiyo? kwa comon sense tu mkuu
Yes bro..
Mwenye A mbili olevel na d flat ana three ya 22 ila hana sifa ya kupga pepa ya 6 mpaka atafute crdt moja ila mwenye c tatu na d 2 na f zilizobak ana iv ya 27 ila ana sifa za kupga pepa ya 6...
 
Sorry sikukuelewa mkuu principle D Lakini hiyo E kwa sasa sio principle kama matokeo ndo hayo diploma au reset
S.Subsidiary.
E.Satisfactory
D.Averege.

Je principal na satisfactory vina utofauti gani?.,ndio suali lilipo.
 
Mbona hakuna? Na wanaposema two principle passes af kwenye mabano wanasema "two Ds au two Cs" unaelewa nin wanakimaanisha?
Inaonekana kuelewa mzito twende taratibu tu wanapoweka mabano wanamaanisha hiyo principle inayotakiwa mfano mwaka 2016 2Ds ndo kigezo mwaka 2015 2Cs ndo kigezo hebu soma uelewe
 
Hoja ni kwamba unaweza ukawa na A physics lakini huwezi mwenda medicine na S ya Bios na Chem. Pia kuna kuangalia uhitahi wa hiyo kozi na ufaulu wa hayo masomo. Unaweza ukawa na two lakini usipate kozi husika sababu somo la msingi umechemka
 

KUANZIA LEO NATAKA NIKUPE ELIMU NA UELEWE YAFUATYO:

PRINCIPLE PASSE ZA KWENDA CHUO CHOCHOTE KILE KIKUU DUNIANI HUWA NI 2 ,KWA CASE YA TANZANIA ILIKUWA NI E MBILI LAKINI IMEPANDA HADI D MBILI,THATS MEANS POINTS ZINAHESABIWA KWA MASOMO MAWILI TU,NA SIO MATATU KAMA MTU UNA A E E ,HAPO HAUNA PRINPLES PASSE MOJA ,LAKINI UNAYO MOJA AMBAYO NI A.
HIVYO BASI MTU MWENYE D D F ANAWEZA KWENDA CHUO KIKUU LAKINI MWENYE A E E NA DIV II PTS 12 AKAKOSA NAFASI KWA SABABU HANA MINIMUM PRINCIPLE PASSES.
 
Hata mwenye AEE Naye ana principle moja maana principle inaanzia D na sio E
 

kinachoangaliwa ni ufikishe point 4 sio lazima point hizo 4 zipatikane kwa D mbili inaweza ikawa kwa CEE hivi ndivyo itakavyokuwa by the way soon next week Guide book itatoka utapata uchambuzi mzuri sana
 
pole Mzee wa kuchanganyiwa ila ili muhusika awe na eligibility mosi ni lazima awe Weight ya 4 pili ni lazima awe na angalau kuanzia D mbili ili kukidhi kigezo cha kwanza ambacho ni weight ya 4 kigezo cha D mbili ni kuonyesha jinsi gan muhusika anaweza kufikia kigezo cha kwanza ndo maana ikawa angalau(at least).Kama una marks zingine ambazo zinakupelekea kufika kigezo cha kwanza unakuwa eligible kabisa kwa mfano DEE, AEE, AAS, etc zote unakuwa eligible ila itategemeana sasa na requirements za kozi anayotaka kusoma kwenye chuo husika.
 


WEWE NDIO UNAJICHANGANYA .
NI LAZIMA UWE NA KUANZIA D MBILI AMBAZO ZISIPUNGUE POINT 4
SIFA NI KUANZIA D MBILI.... FANYA UFANYAVYO UVUKE D MBILI NA TUKIHESABU USIWE CHINI YA POINT 4. KWA HIYO UKIWA A EE BADO HUNA VIGEZO....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ