TCU mbona hamueleweki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU mbona hamueleweki?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Salary Slip, Jul 9, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,472
  Trophy Points: 280
  Mimi leo nimelog in kwenye account yangu ya TCU ila ni mekutana na ujumbe ambao kwa kiasi fulani umeniacha na maswali mengi kuliko majibu.Kama walivyokuwa wamesema awali ni kweli registration na application sasa zimefungwa na hali kadhalika sasa hivi huwezi tena kubadilisha selected programe kuanzia leo.Hilo kwangu naona sawa kwani wameongeza muda kiasi cha kutosha.
  Cha ajabu na kinachonishangaza ni sehemu ya ujumbe wao kusomeka kwamba bado appllicants wanaweza kuadd form six/four results na hata kuapdate pfofile information zao.Sasa kama watu bado wanaweza kuadd more form four/six results hiyo selection maana yake bado sana kwasababu huwezi kufanya selection wakati bado unaruhusu watu walete matokeo zaidi na cha ajabu zaidi hata deadline ya kuadd haya matokeo hawajaitoa.
  Jamani nimeshindwa kuelewa, naomba mnisaidie labda mimi sijui utaratibu.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Usicho kielewa ni nini??
  kuna baadhi ya applicants hawana matokeo katika accounts zao na kuna wale walio apeal sasa unataka wakose vyuo au hoja yako ni ipi???
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,472
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu nimekuelwa inaonekana uko jikoni.Hivi kumbe kuna kuappeal.
   
 4. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  o

  Naungana nawe Salary slip - hiyo ya ku appeal imeniacha hoi - kumbe TCU nao wana ku-appeal nikidhani ni HESLB na NECTA. Una appeal kwa lipi. Na kama umesema dead line ni tarehe fulani huwezi tena fanya lolote unless TCU iseme selection bado sana na watu wanaweza jaza taarifa hizo hadi ifikapo tarehe fulani na sio kuacha tangazo likiwa open ended.
   
 5. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,472
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mkuu kwa kuwa muelewa.Ni mambo ambayo yanachanganya kabisa.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sio kuapeal TCU wakuu ni NECTA kunawatu matokeo.yao ya form six yamebadilika, so hao wanasaidiwaje???
   
Loading...