TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

kigezo cha kujua kusoma Na kuandika sio kigezo cha kutofikiri ,jibu kulingana Na posti aliekwambia wote duniani tunatakiwa tuwe Na A ni nani? Hizo nyingine kawekewa nani Kwa jinsi ulivyojibu posti nadhani Hata hizo A nizakukariri majibu.
Kama A za kukalili majibu na hyo grade N itakua ya nini hahahah Bongo bahati nzuri

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Yaaani saivi kila kitu ni vululuvululu tu .

Aliesoma diploma akapata GPA ya 2.9 itabidi asome diploma Nyingine au akapige pepa la six ni upotevu Wa fedha na muda .

huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
Si bora Hata hiyo Afya Hata Uwe Na 3.4 urudie diploma sijui,Na Hata upate 3.5 Na Saidi pass unazo wanataka credit.
 
Application ya watu wa diploma kwenda degree wanangalia chet NTA level 6 na sio DD zako za o level, unazopigia Makelele maana iyo Miaka 3 ulikuwa unasoma sayansi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una
waislam walipomlalamikia ndalichako enzi zile mliwaona punguani... kusema kweli katika awamu hii ya tano kuna hawa mawaziri wawili wakiongea natamani hata kubadili chanel ...

1) Kariuki

2) Ndalichako
una
penda udini mbuzi ww
 
D tano mhimu ndo mbiu ya elimu ya juu, na bios na chem ndo ulitumia kusoma afya ezi hizo, na kama huna D5 ndo mwisho kufa tu na diploma au rudi shule urisit tu, baada ya apo hutumii tena cheti chako kuaply cha o level un verst utatumia cha level 6 tuu, refer Admissions form of diploma holder applications, qualification GPA 3.0 of NTA level 6.

Sijui umesoma post yangu vizuri sijapinga D tano Hata zaidi Na hizo chem,phy,bios ziwe pass sinashida nazo ninapopinga Ni kubadirisha Nakua wanahitaji credit kwenye chem Na bios badala ya Pass hata Kama una GPA above 3.5.Nakingine ninachopinga nikupandisha GPA Afya peke yake ambapo wanahitaji 3.5 badala ya 3 Kama stashahada zingine
 
Solution ni kuondokana na UKILAZA tu!

Kwa navyooona serikali haitaki wasomi wengi ngazi za juu! Degree minimum entrance kozi za afya ni CCD hyo ni div 1 ya 8 ndugu! Hiyo ngoma hata private wanafunz watapungua mana walikuw wanajaa wa div 2 na 3!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom