TCU Guide Book hii hapa imetoka (PDF)

TCU Guide Book hii hapa imetoka (PDF)

Vyuo vya afya vya private na baadhi ya Vyuo wamewekeana ngumu na tcu kutokana na utaratibu wa tcu walitumia ndio maana vingi havionekani ila wako kwenye majadiliano baada ya kile kikao cha tarehe 15 kufanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu labda ufunguke zaidi-wanajadiliana nini, TCU wameweka utaratibu gani, na kikao cha tarehe 15 (mwezi gani) kilihusu nini?. Tuseme uko sawa-lakini bado TCU hawajatoa maelezo yakutosha (ile list imekamilika au vipi?). Lakini kuna vyuo na masomo ambayo si ya afya visivyo/yasiyo onekana. Wadau tujue lipi?
 
Doctor of medicine: Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least Five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a D grade in Physics PLUS Diploma in Clinical Medicine with an average of “B+’’ or GPA of 3.5 OR BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology.
hii 3.5 si waliitelemsha? au?
 
imerudi tena
 
Wakuu mm PDF hyo inayonyesha page empty
 
Hivi hii ni guide book or just a list of approved degree programmes?
 
Mkuu labda ufunguke zaidi-wanajadiliana nini, TCU wameweka utaratibu gani, na kikao cha tarehe 15 (mwezi gani) kilihusu nini?. Tuseme uko sawa-lakini bado TCU hawajatoa maelezo yakutosha (ile list imekamilika au vipi?). Lakini kuna vyuo na masomo ambayo si ya afya visivyo/yasiyo onekana. Wadau tujue lipi?
Hapo najaribu ku guess,labda vyuo vinataka hata wanafunzi wenye div.2 wakati TCU ikitaka wenye div1 tu. Huo ni ubashiri wangu.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Back
Top Bottom