parasol
Member
- Jul 11, 2017
- 30
- 55
Udsm MD ipoKcmc hakipo,udsm hakuna md,bugando hakuna bmls,KIU hakipo,ajuco hakipo..Hawa wadogo zetu wakasome wapi course za afya??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Udsm MD ipoKcmc hakipo,udsm hakuna md,bugando hakuna bmls,KIU hakipo,ajuco hakipo..Hawa wadogo zetu wakasome wapi course za afya??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahakika na hili? Watu wasije wakasubiri kumbe shughuli imesha fungwa. Najaribu website ya TCU nashindwa kuingia. Kama una taarifa zaidi tafadhali tupatie. Nashanga wameita kitabu chao "List of Undergraduate Degree Programmes Approved as of 12/7/2017 to Admit Students for 2017/2018 Admission Cycle" Lakini hakina maelezo-kwangu mimi hiki ni kitu cha ajabu.Kwa vijana wanao apply vyuo, vyuo bado vitazidi kuongezeka msiwe na hofu sana guide book nyingine itatoka so mda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna vyuo vimepotea na program nyingine kwenye vyuo walivyoweka nazo zimefutika. Najiuliza hii ndio hali halisi au kuna walakini mahali. Na wenzetu wa TCU hawatoi ufafanuzi kwenye hii booklet yao.Mbona volume ya kitabu imekuwa finyu kulinganisha na huko nyuma?
acha kuwapa matumaini watoto kwenye kitu ambacho hakipo
UDSM md ipo
Udsm MD ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
sorry haimoMimi siioni MD UDSM. Naomba CODE yake. Ya UDOM naona imerudi mwaka huu. Si kuna lile agizo wandugu?
Md hamna udsm alishasemaga mkulu hawana vigezo pale vya kutoa madaktari kwa hiyo ishafutwa rasmi, wakitaka waje muhimbiliMimi siioni MD UDSM. Naomba CODE yake. Ya UDOM naona imerudi mwaka huu. Si kuna lile agizo wandugu?
Hii ni Guided book kwa watu wa bachelor tuInaonekana hakuna diploma kuingia MD. au nachanganya.... may be though NACTE? No!
Ada itabidi uingie chuoni-kimtandao au kwa mguu. Haya ni baadhi ya matunda ya kuiweka CAS kando. Tutazoea tu.Duuuuuuh!! wamepunguzo course baazi ya vyuo pia ada ya masomo hawajaweka
No mkuu nao wametolewa guide book yao ipo tayariInaonekana hakuna diploma kuingia MD. au nachanganya.... may be though NACTE? No!
tuwekee please hapa, utakuwa umesaidia
Vyuo vya afya vya private na baadhi ya Vyuo wamewekeana ngumu na tcu kutokana na utaratibu wa tcu walitumia ndio maana vingi havionekani ila wako kwenye majadiliano baada ya kile kikao cha tarehe 15 kufanyikaMkuu unahakika na hili? Watu wasije wakasubiri kumbe shughuli imesha fungwa. Najaribu website ya TCU nashindwa kuingia. Kama una taarifa zaidi tafadhali tupatie. Nashanga wameita kitabu chao "List of Undergraduate Degree Programmes Approved as of 12/7/2017 to Admit Students for 2017/2018 Admission Cycle" Lakini hakina maelezo-kwangu mimi hiki ni kitu cha ajabu.
nimeona, true