TCU Guide Book hii hapa imetoka (PDF)

TCU Guide Book hii hapa imetoka (PDF)

Doctor of medicine: Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least Five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a D grade in Physics PLUS Diploma in Clinical Medicine with an average of “B+’’ or GPA of 3.5 OR BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology.
hii 3.5 si waliitelemsha? au?
Hii 3.5 GPA ni kwa wa afya tu, kwa kozi zingine ndo ileile 4.0 GPA
 
Hii 3.5 GPA ni kwa wa afya tu, kwa kozi zingine ndo ileile 4.0 GPA
Hii ni GPA ya mwenye diploma ya afya kwenda degree, kwa kozi zingine GPA ni 3 kwa watu wa diploma. Hiyo 4.0 ni points (DD/CE) kwa wale watokao Advanced.
 
Hii ni GPA ya mwenye diploma ya afya kwenda degree, kwa kozi zingine GPA ni 3 kwa watu wa diploma. Hiyo 4.0 ni points (DD/CE) kwa wale watokao Advanced.
Typing error tu kiranja, ni 3.0 kwa kozi zingine
 
Hii kitu tuiangalie kwa uangalifu. Kuna vyuo vimefutika kabisa na vingi vina course (programs ) chache ambazo zimekuwa approved. Kuna nini nyuma ya hili. Bahati mbaya sioni maelezo yeyote. Je kuna nyongeza itatolewa au ndo kazi imefungwa hapo? Nafikiri TCU wanatakiwa watoe maelezo ya ziada!!!!!!!
Kwa kuwa wanafunzi wanaomba wenyewe badala ya kupangiwa tu. Nadhani vyuo au TCU wameondoa baadhi ya program ambazo less popular au kitu kama hiyo. Either way, wanahitaji kutoa ufafanuzi
 
Kwa kuwa wanafunzi wanaomba wenyewe badala ya kupangiwa tu. Nadhani vyuo au TCU wameondoa baadhi ya program ambazo less popular au kitu kama hiyo. Either way, wanahitaji kutoa ufafanuzi

Kiutaratibu muombaji haruhusiwi kuomba program nnje ya zile zilizo orodheshwa kuwa zimepitishwa na TCU. Sasa kuna vyuo vizima vizima wameviacha na katika vyuo walivyoweka kuna kozi zilizo zoeleka wameziacha. Hii ndo inayoleta sintofahamu. Mwaka wa jana kuna vyuo vilifungiwa visidahili kozi tajwa lakini TCU waliweka kwenye guide na kueleza kuwa vyuo hivyo vimefungiwa. Muombaji anakuwa na uhakika nini cha kufanya. Sasa unakuta kozi haipo TCU lakini chuo kimeitangaza. Chuo kimejiandaa kudahili lakini hakipo kwenye orodha ya TCU. Ni vizuri watoe maelezo au ufafanuzi kuhusu ile list walio toa na kuwatahadharisha waombaji kuwa watajipalia mkaa kama wataomba program ambayo haijapitishwa. Wao walicho fanya wamemwaga list tu bila maelezo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom