TCU Code Zinakuja Kwa usafiri Gani??

TCU Code Zinakuja Kwa usafiri Gani??

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,924
Zinakuja kwa Bus, Ndege,Treni, aunkwa mguu?
Tar ya mwisho Ku Confirm imekaribia lakini Code hakuna, sasa vijana wetu wata confirm na non? Au watumie namba za kubuni tu?
Kuweni makini pia muwe na kumbukumbu. Au mmesahau kuwa mwisho mlisem ni Tar 6 ya Ku confirm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tcu wamenitumia code muda huu na nimeiweka SUA imekubali sasa nawaza mbona sua wametoa first batch tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...jamani mm mpaka saivi code bado Yan apa presha juu jmn sijui nifanyeje
 
Zinakuja kwa Bus, Ndege,Treni, aunkwa mguu?
Tar ya mwisho Ku Confirm imekaribia lakini Code hakuna, sasa vijana wetu wata confirm na non? Au watumie namba za kubuni tu?
Kuweni makini pia muwe na kumbukumbu. Au mmesahau kuwa mwisho mlisem ni Tar 6 ya Ku confirm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini hamuwapigii simu au hata kwenda kuwauliza huko ofisini kwao? Kama unategemea JF wakujibu au wadhani wanasoma humu na ukashindwa kumeet deadline sababu unasubiri jibu humu, utaonekana mjinga kwa kweli.
Nenda au wapigie simu wakupe jibu sahihi.
 
tcu walitamba kwamba code zitaondoa multiple confirmation lakini imeshindikana udom wanaconfirm bila wahusika kuingiza code husika.hii imepelekea watu kuthibitisha zaidi ya chuo kimoja....
 
Ni kweli mkuu UDOM wamefanya huo mchezo alaf ukiwapigia wanadai hawahusiki sijui itakuwaje yan
 
Back
Top Bottom