TCU:Call for third (3rd) round application

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) and higher education institutions hereby informs prospective applicants for academic year 2011/2012 that the application for third round is now open. Applicants eligible for this round are the following:
1. Previously unselected but qualified applicants
2. New Applicants who have never applied before
3. Selected applicants without loan (Who wants to transfer/ change programme)
N.B: The above groups of applicants will only be allowed to choose one programme of their choice.
The system perfoms auto-selection by searching the programmes that an applicant qualifies and this takes some time to complete. Applicants are requested to be patient without disturbing the process. Once programmes are displayed, the applicant should select only ONE programme and that completes the selection process.
How to apply
a) Selected applicants with loan - They can login as usual but they will not be able to apply/change anything.

b) Selected applicants without loan -The selected applicants without loan who wish to change the programme have first to remove an existing selected programme which is on the right hand side by clicking the left arrow. Then select new qualified programme from the list on the left using the right hand arrow, then click 'submit' button.

c) Unselected applicants - They have to follow instructions as they are in item (b) above.

d) New applicants - Register first as normal, and do as step (b) above.

For applicants holding foreign certificates they have to upload all necessary documents as instructed in the students' guidebook; and during registration, they have to follow proper link as indicated on the registration page. 

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Kwa mtindo huu nadhani kwanza kazi imewashinda na waking'ang'ania 4th na 5th round zinakuja vip wale walio apply udsm moja kwa moja?
 

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
Kwa mtindo huu nadhani kwanza kazi imewashinda na waking'ang'ania 4th na 5th round zinakuja vip wale walio apply udsm moja kwa moja?
Hii haina tofaut na unyanyasaj wa kijnsia, yaani m2 anaambiwa achenj programe kwa sabab hana mkopo? ili nn? achague PROG ya kipaumbele apewe mkopo? au achague PROG yenye ada nafuu il aweze kujilpia? TCU mmekuja kuwaje tena dakika za mwisho? wa JF naomben tafsir ya hii ishu
 

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Hii haina tofaut na unyanyasaj wa kijnsia, yaani m2 anaambiwa achenj programe kwa sabab hana mkopo? ili nn? achague PROG ya kipaumbele apewe mkopo? au achague PROG yenye ada nafuu il aweze kujilpia? TCU mmekuja kuwaje tena dakika za mwisho? wa JF naomben tafsir ya hii ishu
hoja imepita na ninaunga mkono 100%
 

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
<br />
<br />
ndo kakoje hako?
system inakuletea program zinazosemekana ume qualify then unachagua program moja tu. then automaticaly unakua selected
HII YA SAFARI HII NAONA NIKAMA FUNGULIA DOG VILE...............
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,023
1,772
Ukizaliwa Tanzania nyota yako imeuzwa.

leo umeongea point ya maana mkuu,ts btr m2 kuzaliwa kama mbwa au paka huko marekani na ulaya atleast utaenjoy haki za wanyama kuliko kuzaliwa kama binadamu kwenye nchi ya tanzania.
 

Tanzanian

Member
Sep 14, 2010
83
9
leo umeongea point ya maana mkuu,ts btr m2 kuzaliwa kama mbwa au paka huko marekani na ulaya atleast utaenjoy haki za wanyama kuliko kuzaliwa kama binadamu kwenye nchi ya tanzania.acha makufuru kwa Muumba wako! kupanga ni kuchagua, ni ubovu tuu wa kuweka vipaumbele na kusimamia kile kilicha na umuhimu,
lakini tusifike mahali kulaumu eti kwanini nilizaliwa binadamu Tz na kusema heri ungekuwa mbwa au paka au mnyama gani ulaya.
God has a plan for you. usijishushe kiasi hicho. maisha yako ni ya thamani sana kuliko chochote, kuliko hata ulimwengu mzima( in accordance to the Bible). usijidharau, ni hayo tuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom