TCU application Deadline ni 31.08.2016

TCU application Deadline ni 31.08.2016

Last year walichukua slightly over 210 na cut off yao ilikuwa 9.5 TCU units. Wewe una 8-8.5 units. Lakini kwa kuwa NACTE/TCU wamebadilisha mchezo bado kuna uwezekano mzuri wa wewe kupata selection. Ni course yenye competition kubwa. Nikutakie heri na fanaka.

Mkuu Kutokana Na Ushindani Wa Marahii, Kweli sisi Diploma Holders upo uwezekano na Matumaini yoyote ya Vyuo Kutuchagua Kweli???
 
Mkuu ni vigumu kutabiri lakini kama unaufaulu unaotakiwa usisite kuomba kwani pia kuna mpango wa kupunguza F6 wanaokwenda vyuoni na kwa vile GPA ya admission imepandishwa hii pia inaweza kuwa fursa kwa wenye diploma ya GPA 3.5 and above or equivalent.
 
Guide book ya diploma hawajatoa mkuu?
 
Back
Top Bottom