Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,222
- 333
Mkuu nmeweka vyote na imekubalKwenye list ya participating institutions wamelist kila kimoja tofauti na program codes zake. Hivyo nitachukulia kuwa ni institutions 3 tofauti. Hata hivyo hata kama ni tofauti hicho utakacho ingiza mwisho hakitakubaliwa na CAS na itakupa sababu.
sasa nina hofu kidogo