TCU application Deadline ni 31.08.2016

TCU application Deadline ni 31.08.2016

Sorry vipi guidebook ya tulio soma equivalent imetoka??
 
Je nikabadilisha vyuo naruhusiwa kuprint tena?
 
Je nikabadilisha vyuo naruhusiwa kuprint tena?
Ndio. Na inatakiwa uprint ndipo information kwenye mfumo zinabadilika na kujituma automatic . Usipoprint kule yanabaki machaguo ya awali hata kama wewe ukiangalia unaona kama yamebadilika. Chochote ukibadili mwishoni print.
 
Kwa sisi tunaoomba kupitia diploma ni kwamba mpk wale watakaofanya mtihani wa RPL wamalize tareh 5 August then ndo watafungua
 
Labda Mwaka Huu Hawachukui Diploma Holders Coz tarehe 31/07/2016 imeshapita Kitambo.

Naomba kukuuliza mkuu...nimepata Math E form for mwaka 2013 jee hii inajulikana kama Subsidiary au vp?kwasababu kozi nyingi unaambiwa uwe umepata pass or subsidiary at o-level
 
Kama nitakua nmeelewa tofaut hiyo E ni Form four au aje afafanue
 
Wakubwa jf,
Kwamfano ukichagua iv vyuo kwa pamoja yan DUCE, UDSM na MUCE na katka course moja.
Kuna tatzo apo maana kuna mtu ameniambia ni chuo kimoja
 
Naomba kukuuliza mkuu...nimepata Math E form for mwaka 2013 jee hii inajulikana kama Subsidiary au vp?kwasababu kozi nyingi unaambiwa uwe umepata pass or subsidiary at o-level
Na assume unaongelea matokea ya kidato cha sita. Kama ni hivyo wewe ulifanya mtihani 2013 ambayo ni kabla ya 2014. Muongozo wa TCU unasema E inauzito wa point 1 ikimaanisha E ni principal pass (kwa mtihani wa kabla ya 2014).
 
Wakubwa jf,
Kwamfano ukichagua iv vyuo kwa pamoja yan DUCE, UDSM na MUCE na katka course moja.
Kuna tatzo apo maana kuna mtu ameniambia ni chuo kimoja
Kwenye list ya participating institutions wamelist kila kimoja tofauti na program codes zake. Hivyo nitachukulia kuwa ni institutions 3 tofauti. Hata hivyo hata kama ni tofauti hicho utakacho ingiza mwisho hakitakubaliwa na CAS na itakupa sababu.
 
Back
Top Bottom