Mara nyingi watu huwa wanatenganisha laini ya biashara na laini binafsi.Unaandika tetesi wakati kanuni ziko wazi tangia mwezi wa 2 tarehe 7! Na usipoteshe eti watapokonywa ila sema utapaswa kuchagua ni lain hipi uitumie na nyingine uziache na pia unaruhusiwa kuwa na lain zaid ya moja ndani ya mtandao mmoja isipokuwa lazima uireport utaitumia kwa matumizi ya modem tu na si vinginevyo.
Mkuu bora umemwambie wewe, Watu wamekuwa walalamishi mpaka inakera, anyway wengine wanajitetea kwa uhalifu wao waendeleee na Simu ya Mke na Mchepuko kivyake. Kwa wale Wafanyabiashara Rasmi upo utaratibu wa Simu za Kibiashara unapata mpaaka Laini 50 ktk mtandao mmoja. Sasa kama biashara yako hulipi kodi kazi kwako.Unaandika tetesi wakati kanuni ziko wazi tangia mwezi wa 2 tarehe 7! Na usipoteshe eti watapokonywa ila sema utapaswa kuchagua ni lain hipi uitumie na nyingine uziache na pia unaruhusiwa kuwa na lain zaid ya moja ndani ya mtandao mmoja isipokuwa lazima uireport utaitumia kwa matumizi ya modem tu na si vinginevyo.
Kabisa mkuu...Badala ya kufuatilia vitu vya muhimu wao kazi yao kusumbua wateja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa hiyo post unajiona booooonge la mjanjaaaa! Kumbe hovyo tu mavi kinukaMkuu bora umemwambie wewe, Watu wamekuwa walalamishi mpaka inakera, anyway wengine wanajitetea kwa uhalifu wao waendeleee na Simu ya Mke na Mchepuko kivyake. Kwa wale Wafanyabiashara Rasmi upo utaratibu wa Simu za Kibiashara unapata mpaaka Laini 50 ktk mtandao mmoja. Sasa kama biashara yako hulipi kodi kazi kwako.
Mwanaume unamiliki laini za Simu kila mtandao kwani wewe Dalaliiii! Hizi dalili mbaya
Vip nawewe ni Kizazi malalamiko! Tafuta pessa mkuuu malalamiko hayana tijja. Ukiwa na pessa Laini moja tu ya Simu inakutosha huna hajja ya Haloteli umpigie kwa Halo, Voda kwa Voda nk. Ukiwa njema UNATWANGA KOTE KOTE KWA LAINI MOJA hayo mambo ya kuwa na Laini Kibao ni Ishara za Uwoga wa Maisha.Hapo kwa hiyo post unajiona booooonge la mjanjaaaa! Kumbe hovyo tu mavi kinuka
TCRA kimekuwa chombo cha kero na kupokwa uhuru mdogo wa watumia simu. Wasichokijua ni kuwa watanzania wakiacha kutumia hizo simu ni serikali ndio itakayoathirika kwa kukosa mapato. Yaani wao ni kubaba watu, kubana watu, kubana watu tuKusema ukweli kwa hili TCRA mnatuchanganya! Inaonesha hamjajipanga!
Usumbufu umekuwa mwingi mno!
TCRA kwa hili sasa sio ungwana kabisa! Naona kama ni usumbufu mnaofanya wala siyo weledi!
- Tulisajili kwa majina mara ya kwanza, mkasema ni batili mkasema zoezi lirudiwe,
- Tukarudia tukasajili kwa vitambulisho vya kura, napo mkasema ni batili
- Mkasema tukamilishe usajili kwa kupiga picha mwaka juzi tukafanya hivyo lakini bado ikawa ni batili;
- Mwaka jana mkadai tusajili kwa vitambulisho vya NIDA kwa alama za vidole, tumefanya hivyo bado mnaona hiyo haitoshi!
- Mnataka mwaka huu wenye laini zaidi ya moja kwenye mtandao mmoja muwazimie simu zao walizozisajili
Kuna majibu mepesi eti; kwa wamiliki wanaohitaji laini zaidi ya moja watatakiwa kusaini fom maaalum;
Swali!
TCRA mtatukosea sana
- Kama electronic data za vidole hamziamini mtu amiliki laini apendavyo, je hizo fomu maalum ndo zitaaminika?
- Hizo fomu zinawafikiaje wananchi huko vijijini?
- Kuna wafanya biashara ambao wana office zaidi ya moja ambazo zinahitaji namba za simu zaidi ya moja hilo hamjalifikilia?
Kwanini wawapoke watu uhuru wa kutumia line kwa idadi watakayo? Hivi wamekosa kabisa shuhuli ya maendeleo mpaka kuwanyanyasa watu kwenye simu tu?Unaandika tetesi wakati kanuni ziko wazi tangia mwezi wa 2 tarehe 7! Na usipoteshe eti watapokonywa ila sema utapaswa kuchagua ni lain hipi uitumie na nyingine uziache na pia unaruhusiwa kuwa na lain zaid ya moja ndani ya mtandao mmoja isipokuwa lazima uireport utaitumia kwa matumizi ya modem tu na si vinginevyo.
Kusema ukweli kwa hili TCRA mnatuchanganya! Inaonesha hamjajipanga!
Usumbufu umekuwa mwingi mno!
TCRA kwa hili sasa sio ungwana kabisa! Naona kama ni usumbufu mnaofanya wala siyo weledi!
- Tulisajili kwa majina mara ya kwanza, mkasema ni batili mkasema zoezi lirudiwe,
- Tukarudia tukasajili kwa vitambulisho vya kura, napo mkasema ni batili
- Mkasema tukamilishe usajili kwa kupiga picha mwaka juzi tukafanya hivyo lakini bado ikawa ni batili;
- Mwaka jana mkadai tusajili kwa vitambulisho vya NIDA kwa alama za vidole, tumefanya hivyo bado mnaona hiyo haitoshi!
- Mnataka mwaka huu wenye laini zaidi ya moja kwenye mtandao mmoja muwazimie simu zao walizozisajili
Kuna majibu mepesi eti; kwa wamiliki wanaohitaji laini zaidi ya moja watatakiwa kusaini fom maaalum;
Swali!
TCRA mtatukosea sana
- Kama electronic data za vidole hamziamini mtu amiliki laini apendavyo, je hizo fomu maalum ndo zitaaminika?
- Hizo fomu zinawafikiaje wananchi huko vijijini?
- Kuna wafanya biashara ambao wana office zaidi ya moja ambazo zinahitaji namba za simu zaidi ya moja hilo hamjalifikilia?
Mmi nina sim card mbili moja ni ya biashara ipo kwenye social media na vipepereshi hii naizima ikifika saa kumi na mbili jion pia juma pili na sikukuu siiwashi na line nyingine ndio matumiz yangu binafsi hii sheria ni ya ki whack balaaVip nawewe ni Kizazi malalamiko! Tafuta pessa mkuuu malalamiko hayana tijja. Ukiwa na pessa Laini moja tu ya Simu inakutosha huna hajja ya Haloteli umpigie kwa Halo, Voda kwa Voda nk. Ukiwa njema UNATWANGA KOTE KOTE KWA LAINI MOJA hayo mambo ya kuwa na Laini Kibao ni Ishara za Uwoga wa Maisha.
KabisaKila siku hawaishi kuja na mapya hawa ubunifu hakuna. Usishangae siku nyingine wakasema usajili wa alama za vidole ni batili mpaka usajili na DNA kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app