Manyunchwi
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 431
- 149
Wengine hawana mb anatumia free data ya tigo, akiona link anakasirika na kuanza kulaumu, ama anaanza kukomenti bila kujua contents
hawaelewagi hawa,wacha tukomae naeKama ni mtu wakusikia na kuelewa atakuwa ameshawaelewa
Hahaaa maana naona jamaa amesakamwa sana hajui watu tuna hasira ya ndege yetu kukamatwahawaelewagi hawa,wacha tukomae nae
AHahaaahaahaaaaCajojo mi kwako nimefika
hhahah hawa tukiwaacha hivi hivi hawaelewi hawaHahaaa maana naona jamaa amesakamwa sana hajui watu tuna hasira ya ndege yetu kukamatwa
Lakini kakurupuka mno kamzidi hata wakukurupuka
itakuwa kweli anatumia free data,haahahahahWengine hawana mb anatumia free data ya tigo, akiona link anakasirika na kuanza kulaumu, ama anaanza kukomenti bila kujua contents