TCRA wachukulieni hatua kali hawa watu wa EATV na EA Radio ni wapuuzi sana

Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi kwenye posts zao

Kuna posts waliandika kuhusu Mrisho Gambo wakimnukuu 'Mkinipa ubunge nitawapa mashamba' kisha wanakuandikia soma na kukuwekea link ukifungua ndani ni tofauti na kilichoandikwa

Leo kuna post nyingine nimeiona wameandiaka ''Odinga ameuawa Kenya, mwili wake waupwa sokoni'' na kuweka link soma...
Hii ni mifano michache tu ila wanaandika posts nyingi kama hizi ukiingia kwenye ukurasa wao wa Facebook utashuhudia
Ni namna ya uandishi ambao hauna weledi kabisa na unaolenga kuvuta traffick kwenye website yao kwa njia ya kuleta taharuki

Ningewaomba TCRA najua mpo huku Jamiiforums muwaonye hata kuwachukulia hatua watu hao maana wanalenga kuleta taharuki

View attachment 572158
Ni kweli Mwalimu Odinga aliuawa na mwili wake uliokotwa sokoni, yeye alikuwa kamishna msaidizi wa time ya uchaguzi na mipaka, sijui uongo uko wapi! Usipende kukurupuka.
 
Huo ni upeo wako mdogo wa kufikiri

Kwani odinga hakufariki? Au unataka afe raila odinga tu

Alifariki mwanamama wa tume ya uchaguz jina linaishia na odinga

Yaan watanzania km wewe sidhan hata km unauwezo wa kusovu mambo yako km vitu vidogo vidogo km hiv huvielew

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hivyo vituo vilishapoteza mvuto si kwa wasikilizaji na watazamaji tuu bali hata kwa makampuni ya kupeleka matangazo....Hivi vituo vinajifia.. kabisa mikononi mwa mtoto wa Mengi....Ubunifu zero ,hawana jipya...hawachangamki, wamelala, hawaoni... yaani hata kutazama wenzao wakina Clouds na Efm wanavyo fanya wameshindwa kabisa..
Mengi ana paswa kuchukua maamuzi magumu kunusuru hivi vituo....hakika vimepoteza kabisa ushawishi kwa jamii na sababu kuu ni management kulala tuu hawana jipya.
We ukipewa banda la kuku tu utaanza kulia unalifunga ndani ya wiki

Pale sio Lumumba inahitaj akili nyingi kuongoza media bongo

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Huyu mleta maada ni mpumbavu wa kipindukia

Au anatumia simu zisizosapoti kufungu link

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hawa watu wamekuwa wakiandika posts nyingi kwenye ukurasa wao wa Facebook zenye nia ya kufarakanisha na saa nyingine kuleta mshtuko ili wapate watembeleaji kwenye mtandao wao na comments nyingi kwenye posts zao

Kuna posts waliandika kuhusu Mrisho Gambo wakimnukuu 'Mkinipa ubunge nitawapa mashamba' kisha wanakuandikia soma na kukuwekea link ukifungua ndani ni tofauti na kilichoandikwa

Leo kuna post nyingine nimeiona wameandiaka ''Odinga ameuawa Kenya, mwili wake waupwa sokoni'' na kuweka link soma...
Hii ni mifano michache tu ila wanaandika posts nyingi kama hizi ukiingia kwenye ukurasa wao wa Facebook utashuhudia
Ni namna ya uandishi ambao hauna weledi kabisa na unaolenga kuvuta traffick kwenye website yao kwa njia ya kuleta taharuki

Ningewaomba TCRA najua mpo huku Jamiiforums muwaonye hata kuwachukulia hatua watu hao maana wanalenga kuleta taharuki

View attachment 572158
Wewe ndiyo mchonganishi humalizi kusoma habari yote unaanza kukurupuka na maneno, sasa Sisi kama TCRA tutakufungia wewe.
 
Wewe ndiye mjinga! Je hiyo habari ni ya Uongo? Wangeandika Raila Odinga hapo sawa, ila Odinga wapo wengi, ni namna ya kuwaelimisha watu Wajinga kama wewe unaposikia jina Moja tu usiwe na kiherehere Cha ku conclude kuwa ni Fulani! Soma hiyo link utamjua Odinga (Afisa Uchaguzi) aliyeuwawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida vilaza hawajijui kama ni vilaza,
Hivi tatizo la low IQ wa kulaumiwa ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eatv facebook yao ina wachangiaji wengi na comedian wa kutosha, idumu milele maana ni kucheka mpaka basi
 
Sona content.. Odinga kauawa kweli lakini sio Raila. Hata mkiwashtaki hawaweze kufungwa.. baada ya kusoma kichwa cha habari wewe ulikuwa na habari yako uliyotaka uikute ila ni tofauti na habari ya mwandishi. Ni odinga kweli ila sio huyo unayemjua wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani uongo Odinga ajauawa? Au unadhani Raila tu ndio Odinga, alafu wanaowalipa buku 7 hawana akili
 
Back
Top Bottom