Niambieni
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 625
- 171
Ni muda mrefu king'amuzi cha continental cha kichina, hakifanyi kazi vizuri. Je mko wapi TCRA na TBS? tunaomba mtusaidie na ikiwezekana vikusanywe na kuharibiwa kama vipodozi venye virutubisho vya sumu.
Yaani ikifika saa moja na nusu jioni ndio kabisaa hakionyeshi kabisa.
Mwanzoni walikuwa wanaweka matangazo ya "samahani .... mitambo imeharibika..." sasa ni muda mrefu. Hali hii inaudhi sana.
Yaani ikifika saa moja na nusu jioni ndio kabisaa hakionyeshi kabisa.
Mwanzoni walikuwa wanaweka matangazo ya "samahani .... mitambo imeharibika..." sasa ni muda mrefu. Hali hii inaudhi sana.