Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
unaongelea theory au practical experience?
Mwenye macho HAAMBIWI tazama, bongo hii.Kwa mwendo huu wa hawa TCRA tutajikuta tuna ving'amuzi zaidi ya viwili kupata local Channels..... Gharama zaidi kwa mwananchi....
Na ule mpango wa kuzima simu 'feki' umeishia wapi au Dec 31, 2012 haijafika?Naona usanii unaendelea kulitafuna taifa!kwa waelewa wa mambo tumeshanusa harufu chafu ya ufisadi ndani ya TCRA.nisiseme mengi bali nijikite kwenye swali langu au letu!
Ili niweze kuona local channels zote ninunue king'amuzi kipi?
This is a very serious question from the common mwananchi.
sio siri bwana mnaboa na hizi habari kila mtu anakuja na kitu chake kulalamika humu.
Kipindi mwenye hii forum anaianzisha hili jukwaa sila malalamishi ila limeekwa tujifunze tupeane habari za technologia na vitu kama hivyo lakini kila siku watu wanaleta tabia zetu za kibongo za ulalamishi humu.
Kuna website inaitwa tcra.go.tz hii imetengenezwa kwa ajili ya vitu kama hivi nenda pale click contact us then kwa kutumia details hizo watumie malalamiko yako. Na sio humu ambapo sidhani hata kama hao viongozi wa tcra wanakuja soma hio post yako
Ndungu zangu msijingize kwenye matatizo ya vingamuzi vya startimes, na wengineo wa teknolojia kama hiyo,USHAURI WA BURE:Kingamuzi bora kuliko vyote ni cha teknolojia ya SATELLATE.,kama free to air dishes,zuku,dstv.Kwa nini usumbuke na startimes?Kwamfano kama upo Dar utapata free to air dish ft 6 kwa bei ya sh 130000 tu,utapata lnb,dish,receiver,cable. Kwa vifaa hivyo utapta chanel 11 za bure,kama TBC1,ITV1,STARTV,CH10,CITZEN KENYA,MOZAMBIQUE1,MOZAMBIQUE2,TIM,EATV,TV IMANI,.Hapo ni lnb moja tu.Ukiongeza gharama za fundi ni kama 20000 tu.Tena hakuna cha zungusha,hapo,rudi,haaa imetoka!Kwa hiyo gharama ya 150000 tu umemaliza maisha yako yote,hakuna cha kulipia wala bill.Sasa linganisha bei,startimes kununua set68000/ malipo ya mwezi 9000/,kwa mwaka 176000.Na wakati huo zaidi startimes utapata chanel za kidosi tu.Kwenye dish lako ukitaka kuongeza chanel ni huru,waweza pat zaidi ya chanel 1000 ukiongeza disqswith na lnb 3. FUNGUKA,SOMA ALAMA ZA NYAKATI.

Mkuu huo wote ni uvivu wa kutumia akili. Mimi nimekuwa nasikitika sana,kwamba watu wengi nchi hii kumbe hata vitu vidogo sana vinawanyima usingizi.TCRA wanafanya promo ya ving'amuzi vya kulipia,wakati walitakiwa kuweka wazi kwamba kuna options mbili,yaani king'amuzi cha kulipia na king'amuzi cha fta ambacho ni cha bure!
Anyway,inavyoonekana watu wa dar walikuwa hawajui kabisa hii option ya pili,ndio maana wanang'ang'ana na startimes na zuku,kisha malalamiko chungu tele.Sisi wa mikoani wengine tumeanza kutumia madishi kwa zaidi ya miaka 10 sasa na hatujapata tatizo lolote.Mambo yote burudani.
Sisi kwetu tunasema,wajinga ndio waliwao.Siku wakistuka wanatukuta tunafanya mpango wa kwenda Mars!
Ndungu zangu msijingize kwenye matatizo ya vingamuzi vya startimes, na wengineo wa teknolojia kama hiyo,USHAURI WA BURE:Kingamuzi bora kuliko vyote ni cha teknolojia ya SATELLATE.,kama free to air dishes,zuku,dstv.Kwa nini usumbuke na startimes?Kwamfano kama upo Dar utapata free to air dish ft 6 kwa bei ya sh 130000 tu,utapata lnb,dish,receiver,cable. Kwa vifaa hivyo utapta chanel 11 za bure,kama TBC1,ITV1,STARTV,CH10,CITZEN KENYA,MOZAMBIQUE1,MOZAMBIQUE2,TIM,EATV,TV IMANI,.Hapo ni lnb moja tu.Ukiongeza gharama za fundi ni kama 20000 tu.Tena hakuna cha zungusha,hapo,rudi,haaa imetoka!Kwa hiyo gharama ya 150000 tu umemaliza maisha yako yote,hakuna cha kulipia wala bill.Sasa linganisha bei,startimes kununua set68000/ malipo ya mwezi 9000/,kwa mwaka 176000.Na wakati huo zaidi startimes utapata chanel za kidosi tu.Kwenye dish lako ukitaka kuongeza chanel ni huru,waweza pat zaidi ya chanel 1000 ukiongeza disqswith na lnb 3. FUNGUKA,SOMA ALAMA ZA NYAKATI.
naombeni freq na symbol rate za Citizen, na Trenet kwny position hii ya local chnl