R ruaharuaha JF-Expert Member Feb 14, 2018 3,554 3,749 Dec 19, 2021 #61 cariha said: Yes hvo vyote vipo, makato hayakwepeki hizi si ndo sera zenu Wana ccm miaka 60 ya uhuru nchi haeleweki siku zinavozidi kwenda heri ya jana Click to expand... Sijawahi kuwa CCM, Nipo zaidi kwa maslahi ya Taifa. Wewe uko zaidi kichama, kiitikadi, kikabila, kinabinafsi. Ukiwa neutral utajua ungekuwa maskini, kijijini elimu bure imefanya nini, vituo vya afya, barabara, masoko ya madini, kumpa fursa mchimbaji mdogo.
cariha said: Yes hvo vyote vipo, makato hayakwepeki hizi si ndo sera zenu Wana ccm miaka 60 ya uhuru nchi haeleweki siku zinavozidi kwenda heri ya jana Click to expand... Sijawahi kuwa CCM, Nipo zaidi kwa maslahi ya Taifa. Wewe uko zaidi kichama, kiitikadi, kikabila, kinabinafsi. Ukiwa neutral utajua ungekuwa maskini, kijijini elimu bure imefanya nini, vituo vya afya, barabara, masoko ya madini, kumpa fursa mchimbaji mdogo.
I am Groot JF-Expert Member Jul 20, 2018 3,732 10,038 Dec 20, 2021 Thread starter #62 Ndio nchi yetu hii... anewei tuendelee kuwa wazalendo