Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Kadaya Baluhye, amewataka waathirika wa unyanyasaji mitandaoni, ikiwemo uvujaji wa picha za utupu, kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili wapate msaada unaostahili.
Wito huo umetolewa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Auditorium – UDOM, jijini Dodoma, Februari 10, 2026.
Wito huo umetolewa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Auditorium – UDOM, jijini Dodoma, Februari 10, 2026.