TCRA+VODACOM+MAKAMPUNI YA SIMU YANAVYOKATA MICHANGO KWA AJILI YA CCM
Napenda kuchukua fursa hii kuutarifu umma wa watanzania unyonyaji unaofanywa na makampuni haya ya simu bila hata watanzania kugutuka ili wote tuone kama kuna fair play katika uchaguzi huu
1. Baada ya changia CCM kwa sms kushindikana sasa wamebuni njia mbadala nayo ni kutoza asilimia 10% ya kila salio unaloweka na linakatwa wakati unapopiga simu nao sio instant kama tulivyozoea na hii ni kwa wateja wa simu zote kama hupendi kuendelea kuchangia mafisadi tafadhali tuma neno HAPANA kwenda namba 15016 (Hii ndio proof ya ninachosema) Huu ni UONEVU WA WAZI WAZI
2 Baada ya ujumbe wa kashfa ambao TCRA waliukanusha kuwa hawahusiki tena kupitia TV ya TBC asubuhi wakati wa kipindi cha jambo leo Uchunguzi wangu wa siku tatu umeonyesha kuwa kati ya watu mia niliozungumza nao walioutumiwa ujumbe ule wa kumkashifu Dr Slaa basi 100% wanamiliki mtandao wa Vodacom(TCRA MTUJIBU HIZI NAMBA ZOTE ZILIPATIKANA WAPI?)