The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,401
- 12,985
Boss, sijawahi kuip[enda CCM tangu nazaliwa, na zaidi, sina utaratibu hata wa kujiunga na bahati nasibu...simu yangu siiachi katika hali ambayo mtu anaweza kuiunganisha, kwanza sina marafiki ambao ni CCM, na zaidi kabisa, hapa nilipo namba zetu watu watatu zimerudisha hayo majibu?????
Wadau, kuna jamaa yangu kanipigia simu na kuniambia kwamba Watanzania wote tunachangia kampeni za CCM bila kujijua kila tunapotumia huduma ya simu...akaniambia kama siamini, nitume meseji (neno HAPANA) kwenda 15016, nitatumiwa ujumbe...nimefanya hivyo, na huu ndio ujumbe niliotumiwa......
ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII
YA CHANGIA USHINDE NA CCM...sender 15016
Sasa, hivi hii ni halali kweli????? CCM imeona kwamba kutuibia kwa ahadi za uongo imeshindwa sasa imeamua kuchukua pesa zetu kidogo kwa ulaghai???
Wadau, kuna jamaa yangu kanipigia simu na kuniambia kwamba Watanzania wote tunachangia kampeni za CCM bila kujijua kila tunapotumia huduma ya simu...akaniambia kama siamini, nitume meseji (neno HAPANA) kwenda 15016, nitatumiwa ujumbe...nimefanya hivyo, na huu ndio ujumbe niliotumiwa......
ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII
YA CHANGIA USHINDE NA CCM...sender 15016
Sasa, hivi hii ni halali kweli????? CCM imeona kwamba kutuibia kwa ahadi za uongo imeshindwa sasa imeamua kuchukua pesa zetu kidogo kwa ulaghai???
very true mkuu, ni ukumbe... yaani ung'amuzi wako kwamba ulikua unaliwaNimetuma na nimejibiwa ASANTE KWA UK(SIO J)UMBE..(UKUMBE) WAKO, UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII YA CHANGIA USHINDE NA CCM.....Kweli bongo tambarare
very true mkuu, ni ukumbe... yaani ung'amuzi wako kwamba ulikua unaliwa
if this is true kwamba ulikuwa kwenye hiyo huduma bila kujijua... can we take our mobile service provider to court?
Nilipoileta hii maana yangu kubwa ni watu kufahamishwa na kufanya utafiti ili waprove na hapo ndipo tufanye maamuzi makubwa kwa ajili ya Taifa letu na watu wake....La kwanza ni october 31 tumenyanyaswa vya kutosha na sasa ni mwisho huu ni wizi mdogo sana na bado ipo mingi na hapa bado nafauatilia kujua kwanini inflation haipungui ntaleta taarifa nyingine za kiuchunguzi..PENDEKEZA TUFANYE NINI SHERIA ZINASEMAJE.TCRA+VODACOM+MAKAMPUNI YA SIMU YANAVYOKATA MICHANGO KWA AJILI YA CCM
Napenda kuchukua fursa hii kuutarifu umma wa watanzania unyonyaji unaofanywa na makampuni haya ya simu bila hata watanzania kugutuka ili wote tuone kama kuna fair play katika uchaguzi huu
1. Baada ya changia CCM kwa sms kushindikana sasa wamebuni njia mbadala nayo ni kutoza asilimia 10% ya kila salio unaloweka na linakatwa wakati unapopiga simu nao sio instant kama tulivyozoea na hii ni kwa wateja wa simu zote kama hupendi kuendelea kuchangia mafisadi tafadhali tuma neno HAPANA kwenda namba 15016 (Hii ndio proof ya ninachosema) Huu ni UONEVU WA WAZI WAZI
2 Baada ya ujumbe wa kashfa ambao TCRA waliukanusha kuwa hawahusiki tena kupitia TV ya TBC asubuhi wakati wa kipindi cha jambo leo Uchunguzi wangu wa siku tatu umeonyesha kuwa kati ya watu mia niliozungumza nao walioutumiwa ujumbe ule wa kumkashifu Dr Slaa basi 100% wanamiliki mtandao wa Vodacom(TCRA MTUJIBU HIZI NAMBA ZOTE ZILIPATIKANA WAPI?)
Nilipoileta hii maana yangu kubwa ni watu kufahamishwa na kufanya utafiti ili waprove na hapo ndipo tufanye maamuzi makubwa kwa ajili ya Taifa letu na watu wake....La kwanza ni october 31 tumenyanyaswa vya kutosha na sasa ni mwisho huu ni wizi mdogo sana na bado ipo mingi na hapa bado nafauatilia kujua kwanini inflation haipungui ntaleta taarifa nyingine za kiuchunguzi..PENDEKEZA TUFANYE NINI SHERIA ZINASEMAJE.
SITAKIWana jf msidangayike na watu wanaotumia mtandao huu kutisha watanzania.
Ndani ya tanzania sheria zinafuatwa kikamilifu na tcra pamoja na mitandao yote na watoa huduma mbalimbali za "vas" wanafuata taratibu zilizowekwa na tcra kikamilifu.
Kumekuwa na ujumbe unaosambazwa unaosema:
"tuma neno hapana kwenda 15016 uone maajabu" huku wengine wakisema mitandao na ccm zinachukua fedha za wateja kwa wizi - yaani ujanja ujanja.
1. Hii namba ni ya bure hai chaji hata sent moja - jaribu ukikatwa nenda kadai utarudishiwa hela yako
2. Hii ni namba ya mawasiliano.
3. Ukituma neno ccm au chochote - utaambiwa asante kwa kujiunga.
4. Ukituma neno ndio - utaambiwa "asante kwa kujiunga na huduma hii ya changia ccm na ushinde zawadi kati ya pikipiki 64, baiskeli 200 na millioni 45 kutoka ccm. Kujitoa tuma neno hapana kwenda 15016"
5.ukituma neno hapana - utaambiwa asante kwa ujumbe wako, utaondolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na ccm.
Tcra na mitandao vinajua hii namba inafuata sheria zote ndio maana haitahangaika na wazushi wasio fikiria bali kuropoka ropoka tu. Hawa inabidi tcra na polisi iwashughulikie kwani ni kosa la jinai kuanzisha false panic alerts kwa jamii.
Lakini pia kumbuka kila unapotuma neno lolote kwenye namba hiyo tayari unakua kwenye database ya ccm. Wakikutumia ujumbe wowote rpomosheni au mawasiliano usije lalamika maana umeingia anga zao.
Kumbuka haya majibu yote yamewekwa kwenye computer na inakujibu kufuatana na ulicho andika.
Guys hakuna wizi hapa - acheni kudanganya watu bure.
Vinginevyo baada ya kutuma neno lolote kwenye hiyo namba, nenda tcra na majibu uliyopata ukashtaki, kama watakuuliza ulifuata nini kwenye hiyo namba na unataka wakusaidie je.
duuuh kweli ndo maana unaitwa msanii - "tunga wimbo tutanunua album yako"
anyway, ukweli ni kwamba CCM inatumia technologia ya juu na inaja nini maana ya kutimiza sheria zote za kazi. utalalamika hadi uchoke, lakini usingetaka sms za ccm usingejiunga mr msanii.
Always read the small prints - siku nyingine utajipiga bei bila kujua. use your head dude.
siyo kila msanii ni mwimbaji we mwanalulelege. Sikatai kama wamefuata sheria ccm ndiyo engine master ya kila idara ya serikali ndo maana hata Tume inafanya kazi kwa matakwa ya CCm, hizo sheria za uchaguzi zenyewe mnazivunja seuse za mawasiliano?duuuh kweli ndo maana unaitwa msanii - "tunga wimbo tutanunua album yako"
anyway, ukweli ni kwamba CCM inatumia technologia ya juu na inaja nini maana ya kutimiza sheria zote za kazi. utalalamika hadi uchoke, lakini usingetaka sms za ccm usingejiunga mr msanii.
Always read the small prints - siku nyingine utajipiga bei bila kujua. use your head dude.