TCRA na Danganyatoto.....

Mwanagandila

Senior Member
Oct 9, 2011
182
100
Ni takribani mwaka mmoja sasa, tangu Mamlaka ya Mawasiliano nhicni TCRA watangaze kwamba ni mwisho wa kutumia namba ya simu ambayo haijasajiliwa, lakini cha ajabu mpaka leo miezi zaidi ya 11 tangu watoe tamko lao mambo bado yako vile vile,
watu wanatumia kadi za simu ambazo hazijasajiliwa, wanatuma ujumbe mfupi( SMS) wanapiga simu kama kawaida..
Mbaya zaidi mtu anaamua kumtukana mtu, au kumtumia msg ya kitisho mwenzake kwa sababau tu anajua hawezi kujulikana,
je toka tumesajili namba zetu za simu kuna faida gani?
ikiwa kwamba ulishasajiliwa lakini line yako ikipotea wanataka tena nakala ya taarifa zako?
mi naona hao TCRA ilikuwa ni danganya toto tu na mradi wa kujitengenezea pesa..
 
Kipindi kile waliuza sura sna kwenye TV, , wanabuni mbinu nyingine ya kuuza sura,,soon utawaona na mkakati mwingine.
 
Hapo bongo mkuu lolote lawezekana katika kusaka pochi sitashangaa TRA kwamfano wakaibuka na kuamuru kila mbongo asajili jina na alilipie vati ya book kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom