FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,883
- 43,773
Hii itasaidia kujua ni fursa kiasi gani ya kibiashara iliyopo mwezi Wa sita, maana nimesikia pale Kko baadhi ya wauza simu wakipeana pongezi na fanaka kwa kuukaribisha mwezi Wa sita as if ni mwaka Mpya. Hizi data zisitolewe kwa kujuana kwa manufaa ya kibiashara. Nasikia kuna around 40 million sim cards ziko hewani hapa tz. Assuming around half zipo kwenye simu feki means kuna simu million 20 zinahitaji kuwa replaced. TCRA toeni takwimu hizo tujiandae kibiashara