TCRA-Hatutazima mitambo ya Analojia des 31!

TCRA-Hatutazima mitambo ya Analojia des 31!

hii ndio tanzania bana,usanii mtupu! Tunahitaji kujifunza kwa majirani zetu kenya etc! Nikama uzimajiwa simu za kichina wahindi wana stock ya hayo masimu conteners wamesha warushwa sasa mambo kimya!
 
Chezeya Reginald Mengi wa IPP Media weye!

Wamechelewa kujiandaa wa hiyo Digitali na hawataki kutumia STARTIMES au AGAPE au ZUKU nk. There could be a connection ya kuahirisha au kusogeza mbele au kusitasita!

mengi na dialo(IPP&Sahara media) wamiliki wa ITV na star wana kingamuzi chao nimeshau jina tu.
 
Ndio madhara ya serikali dhaifu jamani hawa jamaa wamepotosha umma,hivi hamna taratibu za kuwafungulia mashtaka?
 
Ndio madhara ya serikali dhaifu jamani hawa jamaa wamepotosha umma,hivi hamna taratibu za kuwafungulia mashtaka?

Mrisho Mpoto alisema "....maneno ya kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzie kuna walakini...."
 
watu washavuta posho ya kupiga campaign ya analog to digital nchi nzima hapo wanatafuta nyingine........

Yes! Kupitia campaign ya "analog here today, here tomorrow acha wass"
 
tuishasema humu humu ndani tena mara nyingi lakini tu watu au hawataki kuelewa au sijui nini.kwamba.narudia tena leo, kuna aina kuu tatu mawimbi ya tvs yanaweza kurushwa ni kwa kupitia 1.sattelites 2.cable 3. terrestrial.
sasa hii ya tatu ndiyo TCRA ndiyo wanayosisitiza. msisitizo huu hauna maana kwa njia zingine zitafungwa. Fikiria kama mpaka sasa kuna maeneo mengi tu nchini ambayo huduma za simu bado tatizo, itawezekana kweli terrestrial broadcast kuwafikia watu wote nchini. Fikiria tena kuna mmiliki wa tv gani ambaye anapenda tv yake ionekane tanzania tu, kwa 7bu hiyo hataacha kurusha matangazo yake kupitia sattelite.Digitali haimaanishi antenna.kwa taarifa tu hizo receivers(ving'amuzi) mlizonazo majumbani kwenu ni za kidigitali tofauti ni kwamba zingine ni dvb-s na zingine ni dvb-s2.mfano mediacom910/930 zote ni dvbs mpeg2 receivers(ving'amuzi). kwa watu wanaomiliki madish hakuna 7bu ya kuhofu ila hofu yenu inaweza kuwa hii; iwapo tv zitabadilisha frequencies zao za sasa kuwa za mpeg4 au modulation 8spk basi wale wenye magoboli(mediacom)itakula kwenu.kwa leo hayo.
 
ni sawa kwa hii mikoa ambayo tayari imekuwa na elimu ya nini digitali wacha mitambo kwao izimwe, kwa mikoa ambayo bado basi elimu zaidi ipelekwa na ndiyo iyo mitambo izimwe! alafu tusiwe malimbukeni wa ku introduce new technology kwa nchi nzima kwanza, wabongo sisi bana na hata wangeamua kuzima mitambo karibia mikoa yote bado tungetoa lawama zisizo za msingi kabisa! ngarama za kuendesha nyumbani hiki king'amuzi kwa mwezi ni sawa na kodi ya chumba na bill ya umeme kwenye vijumba vyetu vya kupanga, so nyinyi watu wa ushuani msitokwe tokwe na povu tu, kushadadia. hamjui kama king'amuzi ni mke mwingine anaongezeka huyo!
 
Taratibu sio kulalamika kila kitu, katika mikoa zaid ya 25 kuachwa mitatu ndio iwe kelele ivyo! Watabadili tu nina imani.
Ndugu ni mikoa nane ndio itakayo anza kuzimwa na ikifuatiwa na mikoa nane hapo baadae kuanzia mwezi 2,3,4 kisha iliyobaki watatangaza.hivyo kati ya 25 ni 8 tu ndio itakayoanza kutumia "dijitali"
 
Jamaa wanakera kinoma!m nilitegemea tar 1 hapa Singida tutaanza kutumia ving'amuzi!halaf jana kupitia Tbc1 wanasema tusiwe na wasiwasi tuendelee ku2mia madish na antena!ilikua na maana gani kusema wanazima mitambo ya analojia Dec 31?au ndo yale ya Mrisho Mpoto..."maneno ya kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzie..." kila ki2 kipo kiujanja ujanja 2!

sidhani kama kuna siku walitangaza kuwa wanaotumia madishi nao wanahusika na hii issue.kuuliza sio ujinga,its better kuuliza rather than kulaumu tu kwa kila jambo!!!
 
sidhani kama kuna siku walitangaza kuwa wanaotumia madishi nao wanahusika na hii issue.kuuliza sio ujinga,its better kuuliza rather than kulaumu tu kwa kila jambo!!!

Inawezekana huifahamu Singida vizuri!hapa tunaipata Tbc kwa antena {chadema} huyo Pimbi wa Tcra amesema tuendelee na antena hawatozima mtambo wao wa analojia Dec 31,na kwa wale wenye madish wako salama...maana yake tar 1 mwezi wa kwanza Hapa Sgd hakutakuwa na digitali...sasa w povu la nn...
 
Chezeya Reginald Mengi wa IPP Media weye!

Wamechelewa kujiandaa wa hiyo Digitali na hawataki kutumia STARTIMES au AGAPE au ZUKU nk. There could be a connection ya kuahirisha au kusogeza mbele au kusitasita!

Digital inaathiri zaidi watu wa Dar kuanzia Singida, Tabora, Mwanza, Musoma, Bukoba, Iringa, Mbeya na Songea na wangine wataongezea wananchi walishazoea kutumia madishi tangu enzi kutokana na urasimu wa serikali kipindi kile kuruhusu mikoa michache kurusha matangazo ya Tv kwa kutumia analojia ila kama mtu ana uwezo wa dish alikuwa anapata matangazo na mwisho wa siku wananchi wa maeneo hayo hata kama kuna analojia lakini bado walikuwa wamezoea madishi na cable operator na kujikuta wako kwenye digital automatically
 
Inawezekana huifahamu Singida vizuri!hapa tunaipata Tbc kwa antena {chadema} huyo Pimbi wa Tcra amesema tuendelee na antena hawatozima mtambo wao wa analojia Dec 31,na kwa wale wenye madish wako salama...maana yake tar 1 mwezi wa kwanza Hapa Sgd hakutakuwa na digitali...sasa w povu la nn...

Hayo madish mnayotumia na kama watu wa cable wapo hapo Singida ni sehemu ya digitali ila mtakuwa mmekosa component moja ya digitali ambayo nayo ni ving'amuzi. Walisema watazima mikoa mitano tu nayo ni Dar, Dodoma, Mwanza mikoa miwili sina uhakika kwani nimesahau
 
ni sawa kwa hii mikoa ambayo tayari imekuwa na elimu ya nini digitali wacha mitambo kwao izimwe, kwa mikoa ambayo bado basi elimu zaidi ipelekwa na ndiyo iyo mitambo izimwe! alafu tusiwe malimbukeni wa ku introduce new technology kwa nchi nzima kwanza, wabongo sisi bana na hata wangeamua kuzima mitambo karibia mikoa yote bado tungetoa lawama zisizo za msingi kabisa! ngarama za kuendesha nyumbani hiki king'amuzi kwa mwezi ni sawa na kodi ya chumba na bill ya umeme kwenye vijumba vyetu vya kupanga, so nyinyi watu wa ushuani msitokwe tokwe na povu tu, kushadadia. hamjui kama king'amuzi ni mke mwingine anaongezeka huyo!

Dawa ni kununua dish tu mkuu kama mtu unakaa kwako maana kwa laki 2 tu unapata channel local zote na nyingine nyingi za kimataifa, hii ni changamoto kwa wananchi hasa wapangaji wa kawaida wa vyumba au chumba maana wamepewa mzigo mwingine kutokana na kui-introduce hii teknolojia na wapende wasipende lazima wanunue ving'amuzi maana ukinunua dish utaliweka wapi na wenye nyumba walivyo na mikwara. But kama una kwako au umepanga nyumba nzima unafunga dish na ukishafanya installation hakuna gharama nyingine tena labda kama kimbunga kije kilichukue
 
Nimeshanganzwa sana na taarifa ya TCRA kupitia ITV leo kwamba eti mitambo ya analojia haitazimwa kwa baadhi ya mikoa ambayo eti hakuna mitambo ya dijital.wametaja mikoa kama kigoma,kagera,tabora nk kwamba wataendelea kuona matagazo ya analojia(chenga).

mimi najiuliza hivi mikwara yote ilikuwa ya nini? acheni kutumia fedha za walipa kodi namna hii jamani.
Mleta mada, kwa Dar wanazima leo usiku, kaa tayari. Kumbuka kuwa Dar ndio yenye transmitters nyingi za analojia kuliko mikoa mingine. Mikoani kuna tv za wilaya tu katika analojia, stesheni nyingine zote zinapatikana kwa dijitali. Mkoa wa mwisho kuzimiwa transmitters za analojia ni Mbeya, watazima Aprili 31 2013. Soma tangazo katika magezti ya leo kwa details zaidi
 
Bwana, we jana nimetoka church nawasha TV michenga kibaooo.
Sasa tutakuwa na ving'amuzi vingapi ndani ya nyumba? Maana hiki ambacho nakitumia siku zote sipati local news zaifi ys TBC1 na CITIZEN ambayo ni kenya.
Hii ni biashara huria ya ving'amunzi Tanzania
 
Back
Top Bottom