Dawa ni kununua dish tu mkuu kama mtu unakaa kwako maana kwa laki 2 tu unapata channel local zote na nyingine nyingi za kimataifa, hii ni changamoto kwa wananchi hasa wapangaji wa kawaida wa vyumba au chumba maana wamepewa mzigo mwingine kutokana na kui-introduce hii teknolojia na wapende wasipende lazima wanunue ving'amuzi maana ukinunua dish utaliweka wapi na wenye nyumba walivyo na mikwara. But kama una kwako au umepanga nyumba nzima unafunga dish na ukishafanya installation hakuna gharama nyingine tena labda kama kimbunga kije kilichukue
hawa TCRA hawachelewi kuanzisha kodi ya madish, we unafikiri wazima hawa jammaaaa! yani wako kibiashara skuizi hii serikali.